Wafugaji 69,000 waula kupitia mradi wa uzalishaji, usindikaji maziwa Jumla ya wafugaji wadogo 69,062 kutoka maeneo mbalimbali nchini, wamenufaika na mradi shirikishi wa wasindikaji na wazalishaji wa maziwa (TI3P) uliozinduliwa Machi 2022.
Aomba kura kwa kumwaga dua kwa wajumbe, apenya Mariam ambaye ni mkulima wa pamba na mazao mchanganyiko wilayani Kwimba, alikuwa miongoni mwa wagombea 13 wa nafasi tano ya ujumbe wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU 1984).
Kiwango unywaji maziwa kila Mtanzania chafikia lita 67 kwa mwaka Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) inatarajia kugawa zaidi ya lita 200 za maziwa kwa wakazi wa jijini Mwanza kuwahamasisha unywaji wa maziwa, huku ikielezwa hali ya unywaji maziwa kwa mwaka jana...
Waiangukia Serikali punguzo bei nyumba za watumishi wa umma Mwanza. Serikali imeombwa kupunguza bei ya nyumba kwaajili ya watumishi wa umma zilizojengwa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza na Watumishi Housing Investments (WHI), zinauzwa Sh52 milioni nyumba ya...
Biteko: Mfanyeni kila anayekuja ofini kwenu aondoke na furaha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka waandishi na waendesha ofisi (makatibu mahsusi) kuacha kauli za kuvunja moyo wananchi wanapofika kwenye ofisi zao kutatuliwa shida...
Ngoma bado ngumu kuinasua Mv Clarias majini Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, Kamila Laban amesema vikosi vya uokoaji viko eneo la tukio kutoa usaidizi wa kuinasua meli hiyo tangu siku ya kwanza.
Ded asimulia mfumo wa ununuzi ulivyompatia tuzo ya Sh10 milioni Amesema alihakikisha idara zilizopo chini yake zinatumia mfumo huo hadi ilipofika Februari 2024, Serikali ilipokuwa inafanya tathmini ya matumizi halmashauri hiyo iliibuka kidedea kati ya taasisi...
PRIME Tamu, chungu kufungwa kwa Ziwa Tanganyika Uchunguzi wa Mwananchi umebaini baadhi ya mikoa dagaa wa Kigoma hawapatikani na sababu ikitajwa ni bei na upatikanaji wake.
Wavuvi walalama kufungwa Ziwa Tanganyika Mwaka 2023 Serikali ilisitisha uamuzi wa kulifunga ziwa hilo baada ya malalamiko ya wadau wa uvuvi kutoshirikishwa katika uamuzi huo
Chungu na tamu ongezeko la maji Ziwa Victoria, Tanganyika Hii ni baada ya wavuvi zaidi ya 100,000 mkoani Kigoma kudaiwa kuathirika na ongezeko hilo huku kaya 214 za Muleba Mkoa wa Kagera zikikosa vyoo.