Search

1017 results for Bakari Kiango :

  1. Usimamizi mbovu miradi ya maendeleo Dk Nchimbi atoa maagizo

    "Tunatoa wito kwa wataalamu wetu wote kuhakikisha wanazingatia masilahi ya Taifa wanaposimamia hii miradi inayotumia fedha nyingi za umma, ili ijengwe kwa ubora na thamani halisi ya fedha...

    New Content Item (1)
  2. Dk Nchimbi: Hatutasita kuikosoa, elekeza Serikali

    Dk Nchimbi ameeleza hayo leo Jumapili Aprili 14, 2024 wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Nkasi mkoani Rukwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika stendi ya mabasi ya...

  3. PRIME Madai mawaziri kumtukana Rais yaibua makundi manne

    Mzizi wa mitazamo hiyo ni kilichosemwa na Makonda Aprili 12, 2024, alipopewa fursa kutoa salamu za mkoa katika hafla ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Sokoine mkoani Arusha

  4. Nchimbi: Ukishindwa uchaguzi CCM kubali matokeo

    Awakemea wake wanaoshindwa na kuanza kuwawinda wasiowaunga mkono katika mchakato huo na kuanzisha chuki dhidi yao.

  5. Dk Nchimbi: CCM inasimamia utawala sheria

    WanaCCM waelezwa kuwa mambo yaliyopo katika mhimili wa mahakama yanamalizwa hukohuko na hivyo hawatayasikiliza kwenye mikutano ya chama hicho.

  6. Walichokisema Rais Samia, Mufti Zubeir kuhusu Idd El Fitri

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Abubakar Zubeir amesema sikukuu ya Idd El Fitri ni siku ya kutenda mambo mema na kushirikiana zaidi na sio siku ya kufungua milango ya kutenda maasi.

  7. PRIME Ni vita ya vigogo uchaguzi wa kanda Chadema

    Dar es Salaam. Chadema hapatoshi. Ndivyo unavyoweza kusema kwa jinsi vigogo wa chama hicho kikuu cha upinzani wanavyotarajia kupigana vikumbo kuwania uenyeviti wa kanda mwezi ujao. Uchaguzi wa...

  8. Viongozi wapya Chadema waahidi ushindi Serikali za mitaa

    Wajumbe waliwachagua makatibu wa mikoa ya Ilala, Kinondoni na Ubungo wanaosubiri kuthibitishwa kwa mujibu wa taratibu za chama hicho

  9. Sh45 bilioni kusaidia kuboresha afya za kina mama

    Kwa nyongeza ya fedha hizo, mradi sasa utafikia tamati Agosti 2026.

  10. PRIME Siri uteuzi wa timu Nchimbi CCM

    Sasa ni rasmi kwamba timu atakayofanya nayo kazi kwenye sekretarieti, Katibu mpya wa Chama cha Mapinduzi, Dk Emmanuel Nchimbi imekamilika.

Previous

Page 4 of 102

Next