Polisi yataja sababu kuwatimua askari wake sita Kamanda Masejo amesema kuwa utaratibu wa kuchukuliana hatua za kinidhamu ndani ya Jeshi la Polisi ni jambo la kawaida hasa kwa askari wanapokiuka maadili ya jeshi hilo.
TFS watakiwa kuendana na mabadiliko kijeshi Maofisa wa TFS watakiwa kutatua changamoto katika maeneo yao sambamba na kuendana na mabadiliko ya kijeshi.
Wafanyabiashara wa tanzanite wakanusha utoroshaji madini Wadau wa madini ya tanzanite wameiomba Serikali kutumia taasisi zake kudhibiti watu wanaoeneza taarifa za upotoshaji kwamba madini hayo yanaendelea kutoroshwa kwa wingi licha kuwepo kwa udhibiti.
Mjadala madai madini ya Tanzanite kutoroshwa Wadau wa madini ya Tanzanite wameiomba serikali kutumia taasisi zake kudhibiti wanaopotosha kwamba madini hayo yanatoroshwa licha ya udhibiti katika uchimbaji na uuzaji.
Bunge EALA lapata Spika mpya Spika huyo ameshinda baada ya wagombea wawili kutoka nchini Sudani Kusini, Gai Deng na Dk Anne Itto kujitoa dakika za mwisho na hivyo kusababisha mgombea huyo kukosa ushindani.
Mwenyekiti Wazazi CCM aahidi kupandisha viwango Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Fadhili Maganya amesema kuwa atahakikisha anaipandisha viwango jumuiya hiyo na kulinda kauli zake kwa matendo.
TGDC kuanza kuzalisha umeme wa Jotoardhi kuukabili mgawo Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) imeanza utekelezaji wa miradi mitano ya kipaumbele ya rasilimali jotoardhi ambayo itapatikana katika mikoa zaidi ya 16 nchini.
Majaji watakiwa kutafuta suluhu migogoro ya wahamiaji Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Jaji Imani Aboud amekitaka chama cha majaji wanaoshughulikia masuala ya wakimbizi na wahamiaji Afrika kutafakari na kutafuta suluhu ya...
Wataalamu wa fedha nchini waaswa kuwa waadilifu Wataalamu wa Fedha na Mahesabu nchini wameaswa kuwa waadilifu wanapotekeleza majukumu yao na kuwa washauri wazuri kwa jamii katika kufafanua dira ya maendeleo ya uchumi nchini.
Mume asimulia mkewe, mtoto walivyonusurika kifo Levina Rutinda na mtoto wake, Emil Mwesigwa ni kati ya abiria 24 waliookolewa kwenye ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba Novemba 6, mwaka huu.