PRIME Blandina Nyoni afunguka alivyotaka kukataa uteuzi wa Rais “Nilimpigia hata aliyekuwa msaidizi wa Rais wakati huo nikamuuliza hivi naweza kukataa? Akaniambia ‘Rais amekuteua halafu ukatae, hivi unajipenda?’
PRIME Unachopaswa kujua kuhusu chakula kilichoongezwa virutubishi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele ulioongezwa virutubishi, maharage na mafuta ya kupikia vilivyotolewa msaada na Wizara ya Kilimo ya Marekani, ni salama kwa matumizi ya binadamu.
Mabeyo asimulia kabla, baada kifo cha Magufuli Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Tanzania ,Jenerali mstaafu Venance Mabeyo amesema yaliyojiri kabla na baada ya kifo cha Rais huyo wa awamu ya tano
PRIME Serikali lawamani matumizi ya 'energy drinks' Kushindwa kuweka sera madhubuti na kudhibiti utumiaji holela ya vinywaji vikali na vile vya kuongeza nguvu maarufu kama energy drinks, kumetajwa ni chanzo cha kukithiri na hatimaye madhara kwenye...
PRIME Pombe, 'energy drink' zinavyomaliza vijana Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.
Mitaji yatajwa changamoto wafanyabiashara wanawake Mtendaji Mkuu wa Ecobank Tanzania, Charles Asiedu, amesema licha ya kukaribia uwiano wa jinsia 50 kwa 50, changamoto kubwa inayopaswa kutatuliwa kwa wafanyabiashara wanawake ni usimamizi wa fedha.
JK aeleza alivyopambana na udumavu enzi za uongozi wake Kikwete ambaye ni mjumbe wa bodi ya kimataifa ya lishe iliyopo Canada amesema aliikuta nchi ikiwa na asilimia 42 ya watoto wenye udumavu
Kupikia umeme ni nafuu kuliko nishati nyingine - Tafiti Mwenyekiti wa Tarea, Mhandisi Prosper Magari amesema majiko hayo yanaweza kutumika kupikia maharagwe, nyama, makande kwa muda mfupi wa dakika 25 mpaka 45 na ikatumika uniti moja ya umeme
Nchi Afika Mashariki zatakiwa kuwekeza kwenye malezi, makuzi ya mtoto Nchi za ukanda wa Afrika Mashariki zimetakiwa kutenga bajeti ya kutosha kushughulikia malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto, ikiwa ni uwekezaji katika lishe, afya na usalama wa mtoto.
Utafiti watajwa mwarobaini saratani zinazoathiri wanawake Serikali imetakiwa kuwekeza kwenye utafiti na mazingira wezeshi katika kupambana na saratani zinazowaathiri wanawake, ikiwemo kuwafuata walioko maeneo ya pembezoni.