THRDC yamuomba Rais Samia kuingilia kati mgogoro wa ardhi Loliondo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoa nafasi na kuwasikiliza wananchi wa vijiji vya Loliondo vilivyopo wilayani Ngorongoro...
Minada wa vitalu vya uwindaji waingiza Sh19.2 bilioni Ugawaji wa vitalu vya uwindaji wa kitalii kwa njia ya mnada waiingizia faida Serikali ya Sh19.2 bilioni kutoka Sh5 bilioni.
CWT: Ujenzi vyumba vya madarasa utapunguza msongamano wa wanafunzi Jumla ya madarasa 15,000 yamejengwa na serikali nchi nzima kutokana na fedha za mkopo kiasi cha Sh1.3 trilioni ambazo serikali ilizipokea kutoka Shirika la Fedha duniani (IMF). Madarasa hayo...
CCM Shinyanga wamuombea Ndugai msamaha Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga kimeibuka na kumuombea radhi Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia hotuba yake aliyotoa hivi karibuni iliyodaiwa...
NEMC yampiga ‘stop’ mwekezaji wa chumvi Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesitisha shughuli za mwekezaji wa uchimbaji chumvi anayefanya shughuli hizo katika kijiji cha Buyuni wilayani Pangani, Tanga jirani...
Wahitimu NIT washauriwa kutumia ubunifu kutengeneza ajira Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wameshauriwa kutumia ubunifu na maarifa waliyoyapata kutengeneza ajira sio kutegemea kuajiriwa pekee.
Serikali yaombwa kuchunguza ukiukaji haki za wanahabari Serikali ya Tanzania imeombwa kuchunguza ripoti zote za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya waandishi wa habari na kuhakikisha wale wote waliotekeleza vitendo hivyo wanachukuliwa hatua.
Zaidi ya wanamitindo 30 kushiriki maonesho ya mavazi Zaidi ya wanamitindo 30 na wabunifu 15 wachanga wakiwemo walemavu wanatarajiwa kushiriki maonesho ya mavazi yanayojulikana kama Start Tailoring Business (STB) kwa lengo la kukuza na kuboresha...
ETDCO yajenga njia ya kupeleka umeme Dar hadi JNHPP Katika kuhakikisha mradi wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) unakamilika kwa wakati, Kampuni tanzu ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme...
TGDC: Tanzania ina uwezo kuzalisha Megawati 5000 umeme wa jotoardhi Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) imesema kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 5000 za umeme (MWe) zitokanazo na jotoardhi.