Dodoma Jiji FC yakomba wachezaji Azam, Lipuli, Alliance
Dodoma Jiji FC imefunga usajili kwa kusajili wachezaji nane wakiwemo wa kutoka Azam, Lipuli, Alliance huku ikiwatema saba katika dirisha dogo la usajili lililofungwa usiku wa kuamkia leo Alhamisi.