Kijana mbaroni kuuza nyama ya mbwa Mkazi wa Kijiji Cha Igale wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Semeni Shombe (19) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Mwanzo Iyula kujibu shitaka la kuchinja Mbwa na kuuza nyama yake kinyume cha...
Ruwasa: Maji ya Ziwa Rukwa ni machafu Wakati wadau sekta ya maji wakishauri serikali kujenga mradi wa maji to Ziwa Rukwa, ili kuondokana na tatizo la maji mkoani Songwe, Wakala wa Maji Vijijini na Usafi wa Mazingira (Ruwasa), imesema...
Babu atuhumiwa kuwaua wajukuu zake kwa kuwaponda vichwa Polisi mkoani Songwe limemkamata, Aloyce Nyabwanzo (53), Mkazi wa Kitongoji cha Kikamba, Kijiji cha Kapalala wilayani, Songwe kwa tuhuma za kuwaua wajukuu zake wawili kwa kuwapasua mafuvu ya...
Katibu Amcos ajinyonga kwa madai ya upotevu wa Sh118 milioni Naye Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika AMCOS, Shimondo Mashaka Mwantepele walipoulizwa na Polisi wamekiri kudaiwa na rafiki yake huyo na kuwa bado AMCOS hiyo hajamaliza kuuza kahawa yake.
Wanawake wawashangaa wanaume wanaobet, pool table Rose Mwashibanda amesema wanaume wengi na hasa vijana na wasomi wanachagua kazi wakijikuta wanaambulia patupu huku wakishinda kucheza bao, pool table, na kubeti (mchezo wa kubahatisha) huku...
Mbowe: Polisi msibebe mabomu, yaacheni yaoze huko Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kutoa ushirikiano wa kutosha katika mikutano ya chama hicho na kuwataka waendelee...
Mbowe amtaka Silinde aombe msamaha kwa usaliti Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha jeshi la polisi kung’oa bendera za Chadema ambazo amesema hazina hatia yoyote pamoja na kuwaweka mahabusu wananchi wasiokuwa na hatia.
RC Kindamba awaonya makandarasi wababaishaji Jumla ya mikataba 10 ya miradi ya maji yenye thamani ya zaidi ya Sh14.27 bilioni imesainiwa na kuleta tumaini jipya kwa wananchi la kuondokana na uhaba wa maji.
Waziri Mkuu ziarani Songwe Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili mkoani Songwe kuanza ziara ya kikazi siku tatu, atapata nafasi ya kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.