Majina 19 ya waliopoteza maisha ajali ya ndege haya hapa
Kesho Jumatatu, Novemba 7, 2022, miili ya watu 19 waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air, baada ya kuanguka Ziwa Victroria, Bukoba mkoani Kagera, itaagwa katika...