Mwanamke afukuzwa kijijini kwa tuhuma za ushirikina
Songwe. Mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60, mkazi wa kitongoji cha Ipapa kilichopo kijiji Cha Isongole, wilaya ya Ileje mkoani Songwe amefukuzwa kijijini hapo na wananchi akituhumiwa...