Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. Vurugu zaibuka Hai, Mwenge wa Uhuru ukikagua chanzo cha maji

    Kiongozi wa mbio za mwenge, Godfrey Mnzava, ataka sheria za ulinzi wa vyanzo vya maji zisimamiwe, wananchi wadai fidia kabla ya hatua zozote.

  2. Kesi inayomkabili ofisa kilimo Moshi Aprili 30

    Anatuhumiwa kumjeruhi na kushindwa kutoa huduma muhimu kwa mtumishi wake wa ndani.

  3. Majaliwa ashtushwa na aina mpya ya bangi, watumiaji hubadilika na kuwa 'vichaa'

    Majaliwa amesema hayo leo Aprili 2, 2024, wakati wa uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MoCU), mkoani Kilimanjaro

  4. Majaliwa aonya rushwa uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Majaliwa amesema hayo leo Aprili 2 2024 wakati wa uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa uliofanyika katika Viwanja vya chuo Kikuu cha Ushirika(MoCU), Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro,...

  5. Majaliwa kuzindua mbio za Mwenge kesho

    Mwenge utakimbizwa katika halmashauri saba za mkoa wa Kilimanjaro na utaweka mawe ya msingi 13, kuzindua miradi 14, kufungua miradi miwili na utatembelea miradi 18.

  6. Mateso ya saa 8 bila umeme, Tanesco yatoa tamko

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeeleza kuwa imetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirishia umeme ya gridi ya Taifa.

  7. Mwanafunzi kidato cha sita amjeruhi mwalimu kwa chepe kichwani

    Tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 25, 2024 wakati mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina moja la Matendo, alipokuwa akizunguka kukagua wanafunzi waliokuwa wanajisomea usiku.

  8. Ulevi wakithiri Moshi, vijana wadaiwa kushindwa kuoa

    Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kibosho, Padri Beatus Vumilia imefika mahali jamii imeshindwa kujitawala na kutawaliwa na pombe

  9. CWT yasisitiza ujenzi nyumba za walimu

    Walimu wamekuwa wakipata wakati mgumu ukiwamo ukata na madhila kutokana na kupangiwa kazi kwenye maeneo ambayo yana changamoto za miundombinu ikiwamo ya makazi.

  10. Dk Mpango akerwa ujenzi Hospitali ya Mwanga, atoa maagizo kwa Tamisemi

    Makamu wa Rais amesema hayo, leo Alhamisi Machi 21, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa Mwanga, katika stendi ya mabasi wilayani humo, baada ya kutoka kutembelea na kukagua ujenzi wa hospitali...

Previous

Page 66 of 144

Next