Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. ‘Wanafunzi wasio na sare wasirudishwe nyumbani’

    Pia, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema ni marufuku wakuu wa shule kuendesha michango isiyo ya lazima shuleni na kwamba kama kuna michango inafanyika kuna utaratibu wa kufuatwa.

  2. Wataka matukio ya ukatili yadhibitiwe, Beatrice akizikwa

    Wakati mamia ya wananchi wakishiriki maziko ya Beatrice Minja (47) anayedaiwa kuuawa na mpenzi wake kwa kumchoma kisu mara 25, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, viongozi wa dini, wanajamii...

  3. Hanang kufanya maombi ya pamoja

    Kamati ya Amani ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo imeandaa maombi ya kuwaombea watu waliofariki dunia kwenye maporomoko ya tope na mawe...

  4. Aliyedaiwa kumuua mpenzi wake kwa kisu afariki dunia 

    Mtuhumiwa anayedaiwa kusababisha kifo cha Beatrice Minja kwa kumchoma kisu mara 25, Lucas Tarimo, amefariki dunia akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi wakati akiendelea na matibabu katika...

  5. Rais Samia achangia Sh150 milioni KKKT Hai

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa Sh150 milioni kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa...

  6. Askofu Shoo: Kwa Mungu hakuna chama

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka wananchi kuacha kuingiza siasa katika mambo ya kumtumikia Mungu na kuonya wanaowabeza wanaojitolea katika...

  7. Mbowe, Mnyika, Mdee, Bulaya waibua shangwe kanisani

    Shangwe na vigeregere vilitawala zaidi katika Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini usharika wa Nshara, wilayani Hai wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman...

  8. VIDEO: Kauli ya Profesa Mkenda mauaji mwanamke Rombo

    Wakati taarifa za shambulio lililosababisha mauaji ya mwanamke mkazi wa Rombo, Beatrice Minja, zikiibuliwa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amekanusha...

  9. Dk Biteko ataka Watanzania waige Wachaga

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amesema utaratibu wa Wachaga kurejea kwao sikukuu za mwisho wa mwaka ni jambo la kujivunia na kuigwa na makabila yote nchini.

  10. Polisi wachunguza malalamiko dhidi ya askari wake

    Msemaji wa jeshi hilo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime, amesema wanafanyia kazi madai yaliyotolewa kupitia video zilizotumwa kwenye mitandao ya kijamii.

Previous

Page 72 of 144

Next