Rungwe kupata umeme wa joto ardhi 2024 Rungwe. Kampuni ya Undelezaji Jotoardhi nchini (TGDC), inakusudia kuanza uzalishaji wa umeme megawati tano, kama sehemu ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa nishati hiyo. Uzalishaji huo...
DC Chunya ataka wasimamizi mapato kumulikwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mayeka Mayeka amewataka wataalamu wa mapato kuhakikisha wanakwenda maeneo ya ukusanyaji mapato na kujiridhisha kama wasimamizi wa mapato waliopo kwenye vituo wanakwenda...
Madiwani wataka mradi uondoe migogoro ardhi Chunya. Madiwani wilayani Chunya, Mkoa wa Mbeya, wataka mradi wa uboreshaji usalama wa miliki za ardhi (LTIP), utumike kuhakikisha utatuzi wa migogoro wailayani humo, na hivyo kuepuka madhara...
71,000 kufanya mtihani darasa la nne Chunya Mhanze amesema kutokana na kufanya vizuri katika mtihani wa mock ya mkoa wanaamini kila mwanafunzi atafanya vizuri na kupata alama za juu.
Mrundikano mama wajawazito wapatiwa suluhisho Chunya Ili kupunguza changamoto ya mlundikano wa kina mama wajawazito wanaofika kupata huduma Hospitali ya Wilaya ya Chunya ambao kuna wakati hulazimika kulala wawili kitandani kimoja Benki ya NMB...
Mbunge agawa majiko 110 ya gesi Chunya Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi ametoa majiko ya gesi chapa Oryx 110 kwa mama lishe wilayani Chunya Mkoa Mbeya pamoja nakuwapatia kilo tano za mchele na fedha Sh30, 000 kwa washindi...
Sh500 milioni kuokoa wanafunzi kufuata masomo umbali mrefu Anasema hakuwahi kufikiria kuwa kata hiyo itakuwa na shule ya sekondari kutokana na kuwa ni kata iliyopo pembezoni mwa Wilaya ya Chunya naishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
Watatu wakamatwa kwa tuhuma wizi wa kaboni, uvamizi Ameongeza kuwa, “Tayari watu watatu wanashikiwa kuhusika na tukio hilo ambao wamekamatwa wakiwa na pikipiki mbili na kaboni kilo 200 ambazo zinasadikika kuibiwa katika tukio hilo la uvamizi,”...
DC Chunya azionya taasisi zinazolimbikiza madeni ya maji Mkuu wa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Mayeka Mayeka amezitaka taasisi zilizolimbikiza madeni ya bili za maji kulipa mara moja ili kuepuka kukatiwa maji.
Mbio za mwenge Chunya zafikia miradi ya Sh2.9 bilioni Mwenge wa uhuru umemaliza mbio zake wilayani Chunya, Mkoa wa Mbeya ambapo umetembelea tarafa mbili na Kata 12, huku ukiifikia miradi sita ya maendeleo yenye thamani ya Sh2.9 bilioni.