Search

215 results for Emmanuel Msabaha :

 1. PRIME Mandojo kutoka muziki hadi uwekezaji

  Japo wengi walimfahamu kupitia muziki, wimbo wake wa ‘Nikupe nini mpenzi’ ukimtambulisha kwenye gemu miaka ya 2000, ndoto yake kubwa ilikuwa ni biashara, akalazimika kuanza kutafuta mtaji kwa...

 2. Jaji Warioba ashauri mkataba wa bandari upitiwe upya

  Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba amezungumzia mkataba wa uendelezaji na uboreshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai, akisema una vipengele vinavyotia wasiwasi, hivyo unapaswa kupitiwa...

 3. UN yaendela kuibana Rwanda kuhusu M23

  Wanajeshi wa Kikosi cha Waasi M23 wenye makazi yao katika kambi ya Rumangabo Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Picha na AFP

 4. Manowari iliyopotea Bahari ya Atlantiki yaishiwa oksijeni

  Dar es Salaam. Timu ya Walinzi wa Pwani kutoka nchini Marekani imeripoti kuisha kwa akiba ya hewa ya oksijeni iliyomo kwenye chombo cha chini cha maji ‘monawari’ ambacho kilipotea siku ya...

 5. Milio ya kugongagonga yaleta matumaini utafutaji manowari iliyopotea bahari ya Atlantic

  Milio ya kugongagonga imesikika wakati wa utafutaji wa manowari iliyopotea katika bahari ya Atlantic, huku baadhi ya marafiki wa wavumbuzi waliopotea na manowari hiyo, wakiwa na hofu kuwa watu...

 6. Tanzania haitawatupa wakimbizi - Mkurugenzi

  Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wakimbizi ambayo hufanyika kila ifikapo Juni 20, katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Machi hadi Juni mwaka huu, Tanzania imepokea wakimbizi...

 7. Milioni 110 wakimbia makazi yao mwaka 2023

  Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema idadi ya watu waliokimbia makazi yao duniani imefikia milioni 110, huku vita vya Ukraine na Sudan vikilazimisha mamilioni ya...

 8. Museveni akanusha kulazwa ICU, awashukia Wakenya

  Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewataka wananchi wa Taifa hilo kutupilia mbali anaouita uzushi wa kuwa amefariki kutokana na Uviko-19.

 9. Dk Janabi: Watu 132 wawekewa maputo Mloganzila, asilimia 99 ni wanawake

  Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hadi kufikia Juni mwaka huu, Hospitali ya Mloganzila imeshawawekea watu 132 maputo tumboni ili kupunguza uzito,...

 10. Taka ngumu bado tatizo, wadau washauri upandaji miti

  Takwimu za mtandao wa Statista zinaonyesha kiwango cha taka ngumu kinazidi kuongezeka duniani na kinatarajiwa kufikia tani za ujazo bilioni 3.4 hadi kufikia mwaka 2050.

Previous

Page 2 of 22

Next