Search

415 results for Florence Sanawa :

  1. Wenye ulemavu walalamikia unyanyapaa

    Amesema kumekuwa na mitazamo ya aina tofauti kuhusu wanawake wenye ulemavu, hivyo kuhisi kunyanyapaliwa ni hali ambayo inawarudisha nyuma na kushindwa kutimiza haki zao za kikatiba za kupiga na...

  2. Wakulima wa mwani Lindi, Mtwara wanolewa

    Kutokana na kukosekana kwa soko la mwani ghafi katika mikoa ya Lindi na Mtwara, Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa mafunzo kwa washiriki 120 kuhusu namna kuongeza thamani ya zao hilo.

  3. Zaidi ya tani 200,000 za korosho zasafirishwa nje ya nchi kupitia Bandari ya Mtwara

    TPA imetekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan, alilolitoa Septemba 2023 la kusafirisha korosho za mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kupitia Bandari ya Mtwara

  4. Bodi ya Korosho yawaonya wafanyabiashara wanaozitorosha nje ya nchi

    Mwakilishi wa Taasisi ya Wabanguaji Wakubwa wa Korosho (TACP), Jamal Kamtwanje amesema soko la awali limeongeza fursa nyingi ikiwemo kumuwezesha mlaji kufahamu korosho anazokula zimetokea nchini...

  5. Baba ambaka mwanae wa miaka 15, ampa ujauzito

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Said Mapesa (42) kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake mwenye umri wa 15 na kumpa ujauzito.

  6. Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

    Mtwara. Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Ismail Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka...

  7. Wawakilishi wakunwa na uwekezaji gesi Mtwara

    Mtwara. Zaidi ya futi za ujazo 57.54 za gesi asilia zimeshagundulika nchini huku kiwango kikubwa kikiwa kwenye kina cha bahari ambapo bado hakijachimbwa. Hayo yameelezwa na Mjilojia wa Mamlaka...

  8. Mzee mbaroni akituhumiwa kulawiti watoto wa shule

    Aliwalaghai na kuwapeleka katika jengo linaloendelea kujengwa eneo la Maduka Makubwa mkoani Mtwara.

    New Content Item (1)
  9. Upungufu wa damu, tatizo Bagamoyo

    Mganga Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Dk Kandi Lusingu amesema chanzo ni kutokula mboga za majani

  10. Madiwani waja juu mbunge kutoshiriki vikao, ajitetea

    Ni Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Shamsia Tamba (CUF). Amesema kuna wakati anatingwa na vikao vya kamati ya Bunge

Previous

Page 2 of 42

Next