Wachimbaji washauriwa kusajiri biashara zao Wachimbaji wa madini ya dhahabu wilayani Chunya mkoani Mbeya pamoja na wafanyabiashara wa madini wameshauriwa kusajiri biashara zao ili waweze kuendesha shughuli zao bila usumbufu.
Naibu Waziri awataka wachimbaji kuacha utoroshaji dhahabu Naibu Waziri wa Madini, Steveni Kiruswa amewataka wachimbaji wa madini kuachana na utoroshaji wa madini dhahabu na kutumia masoko yaliopo kufuatia masoko hayo kuonyesha mchango mkubwa serikalini.
Wananchi ‘wavurugwa’ mvua ya mawe yaharibu tumbaku ekari 90 Ekari 90 za zao la tumbaku zimeharibiwa na mvua zinazoendelea katika Kata ya Lupa na Mtande wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya ambapo zaidi ya wakulima 30 wameathirika.
Wachimbaji madini kuchangamkia fursa Chunya Kwa mara ya kwanza Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya itakuwa na maonyesho ya teknolojia ya madini na fursa za uwekezaji Mkoa wa Mbeya yanaotarajia kuanzia Machi 14 hadi Marchi 18, 2023 wachimba wa...
CCM Chunya yawaonya wanafunzi wasioripoti shule Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Noel Chiwanga amewataka wazazi ambao bado hawajawapeleka watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wawapeleke ili kuepuka kufikishwa...
RC Homera ataka operesheni kukabili ufugaji holela Chunya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema kuna haja ya kufanya operesheni kwenye maeneo yote yaliyovamiwa na wafugaji ili kukabiliana na mabadiliko uharibifu wa mazingira. Homera ametoa...
Songwe kupiga msako wanafunzi wasioripoti shuleni Baraza la Madiwani la Halmshauri ya Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe, limeazimia kuwarejesha shuleni wanafunzi watoro zaidi 1000 wa shule za msingi za halmshauri hiyo ambao hawapo shuleni tangu...
DC aagiza kufuatilia chanzo wanafunzi kukosekana shuleni Mayeka ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki katika hafla fupi ya kuwakabidhi walimu vishikwambi vilivyotolewa na serikali ambapo katika halmashauri ya Wilaya ya Chunya wamepokea vishkwambi 594...
Wanandoa wapya waliofariki ajalini wazikwa Chunya Wanandoa hao, Noah Semfukwe (30) na Agnes Kiyeyeu (27) waliofariki dunia Jumanne Desemba 20, 2022 kwa ajali ya gari eneo la Tanangozi, nje kidogo ya Manispaa ya Iringa wamezikwa leo katika kijiji...
Chunya wajivunia matunda ya uhuru Halmshauri ya Wilaya ya Chunya wameadhimisha siku ya Uhuru kwa kufanya usafi hospitali ya Wilaya, kujitolea damu na kuwatembelea wafungwa.