Mahakama yamuachia huru muuguzi aliyedaiwa kumbaka mjamzito Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyeshtakiwa kwa kosa la kumbaka mjamzito aliyekwenda kupata matibabu, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Sikonge.
Adaiwa kuwanywesha sumu watoto wa mume wake kisa matumizi Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mwanamke mmoja ( jina limehifadhiwa) kwa tuhuma za kuwanywesha watoto wawili wa mume wake dawa ya kuulia wadudu kwenye mazao.
Mbaroni wakidaiwa kumuua kisha kumtupa porini muuguzi Marehemu alitoweka tangu mwishoni mwa mwezi Julai na mwili wake kuonekana Agosti 8, 2023 nje kidogo ya mji wa Tabora.
Wafanyabiashara watoa kongole sheria ya uwekezaji Sheria mpya ya uwekezaji namba 10 ya mwaka 2022 imewavuta wawekezaji wa ndani wakisema imetoa ahueni kwenye kiwango cha kujiandikisha kwa asilimia 50.
Abiria akatwa mkono uliosagwa katika ajali ya basi Basi hili lilipata ajali leo 1 asubuhi baada ya kutoka Tabora mjini saa 12 asubuhi likiwa njiani kuelekea Dar e salaam.
Basi la Al-Saed lapinduka abiria wasalimika Basi la Al-Saedy limepinduka alfajiri leo Jumatatu Agosti 7, 2023 katika Wilaya ya Uyui mkoani Tabora huku abiria wakipata majeraha akiwemo mmoja aliyevunjika mkono.
Wakulima, wafanyabiashara kicheko bei ya vitunguu ikipanda Bei ya vitunguu imepanda kutoka Sh120,000 kufikia kati ya Sh240,000 hadi Sh260,000 kwa gunia moja huku debe ya zao hilo ikiuzwa Sh45,000 kutoka Sh20,000.
PRIME Makali ya dola yang’ata tena kwenye mafuta Unaweza kusema changamoto ya Dola ya Marekani imeng’ata tena baada ya bei ya mafuta kuongezeka kwa kiwango kilichoacha kilio kwa wananchi.
Shehena ya dizeli yakamatwa ikidaiwa kufichwa Kwa baadhi ya vituo Manispaa ya Tabora kumekuwa na kusuasua upatikanaji wa mafuta ikielezwa kuwa kuna upungufu lakini wengi wanaeleza sababu ni wenye mafuta kutegea kupanda kwa bei ili waachie...
Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka minne Mshtakiwa anadaiwa kumchukua mtoto aliyemlawiti akiwa na wenzake kisha kuwapeleka porini ambako alitekeleza unyama wake huku wakishuhudia.