Mbrazili Simba aanza na straika, kiungo fundi Simba inahitaji kiungo wa ukabaji ili kuongeza nguvu eneo hilo ambalo kwa sasa anatumika zaidi Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute ikitokea mmoja wapo amekosekana kumekuwa hakuna utulivu kwenye eneo...
Mbrazil Simba aitaka Yanga Robertinho alisema anafahamu kuna ushindani mkubwa kwa michuano ya ndani ikiwemo upinzani wa timu yake ya sasa Simba dhidi ya Yanga kila zinapokutana na hata upinzani wa timu nyingine na kwamba...
Simba hiyoo Dubai, MO Dewji amwaga manoti Kambi hiyo itakuwa imemfurahisha Robertinho kwani alishaomba mapema juzi ili apate muda wa kuwalisha falsafa yake wachezaji wa timu hiyo, huku akiweka bayana sababu ya kumleta Oussama Sellami...
Mbrazil Simba kuleta mashine mbili Jana Simba ilivuka Bahari ya Hindi kwenda Zanzibar kucheza michuano ya Kombe la Mapinduzi 2023, huku mabosi wa klabu hiyo wakijipanga kuwafanyia sapraizi mashabiki kwa kumtambulisha kocha mkuu...
Saido akiwasha huko Simba aiwinda Prisons MASHABIKI wa Simba juzi walikatwa stimu baada ya kushindwa kumuona uwanjani kiungo fundi wa mpira aliyesajiliwa kutoka Geita Gold, Saido Ntibazonkiza aliyeishia kukaa jukwaani wakati timu hiyo...
Ajibu atua Singida kishua MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Big Stars, Ibrahim Ajibu baada kupewa stahiki zake zote na uongozi wa timu hiyo uliomsajili kwa mkataba wa miaka miwili, alijiunga na kikosi asubuhi ya jana. Ajibu...
Mkataba wa Saido Simba kufuru MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Saido Ntibazonkiza kabla ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumia timu hiyo kulikuwa na masharti kwa upande wake na uongozi kila mmoja akiweka wazi kile...
Kaburu: Ebu subirini muone WAMEFYEKWA. Ndivyo ilivyo baada ya Kamati ya Uchaguzi ya Simba, juzi Jumapili kutoa orodha ya majina 14 ya wagombea waliopitishwa katika mchujo wa kwanza wa usajili, huku vigogo Geofrey Nyange...
Mgunda anaanza na huyu, ni mkata umeme, wafanya kikao dakika 30 MWENYEKITI wa bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' wala hatanii na hataki mzaha baada ya kurejea nchini mwisho wa wiki iliyopita akitokea Qatar na kuanza na mipango ya usajili...
Mo Dewji amleta straika Mghana Simba BAADA ya kuwepo maneno mengi mtaani hasa vijiwe vya kahawa na hata mtandaoni bilionea wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji amejiweka pembeni, bilionea huyo ameamua kufanya kweli kwa kuwataka...