Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Hanang' wampongeza Giniki kwa kushinda Poland

    Serikali wilayani Hanang’ pamoja na wadau mbalimbali wamempongeza mwanariadha Emmanuel Giniki, kwa kufanya vizuri katika mbio za kimataifa.

  2. Watafiti waja na mbegu zinazokabili ukame

    Watafiti wa mbegu za mahindi nchini wamekuja na mbegu mpya ya mahindi aina ya Selian H115 ambayo inatarajiwa kumsaidia mkulima kukabiliana na ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

  3. Latra Kilimanjaro yawaonya bajaji wanaopandisha nauli

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), mkoani Kilimanjaro imesema itawachukulia hatua kali za kisheria madereva bajaji watakaopandisha nauli kiholela mkoani humo.

  4. Profesa Ngowi azikwa Moshi

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Profesa Honest Ngowi aliyefariki dunia Machi 28, 2022 amezikwa leo kijijini kwao Singa kati, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.

  5. Watakiwa kutumia fursa soko la parachihi

    Wakati kukiwa na mahitaji makubwa ya parachichi nje ya nchi, uzalishaji wa zao hilo nchini bado uko chini.

  6. Waliofanyakazi na Baba wa Taifa wapewa tuzo

    Ikiwa zimebaki siku chache Muasisi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Nyerere kama angekuwa hai angetimiza miaka100 ya kuzaliwa kwake, waliokuwa wakifanya naye kazi kwa ukaribu...

  7. Ada ya maegesho ya magari Kilimanjaro kulipwa kwa mtandao

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amesema kuanzia Aprili Mosi 2022 ada za maegesho ya magari katika barabara zinazomilikiwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura)...

  8. Jezi bandia 446 za Simba zakamatwa Kilimanjaro

    Jeshi la polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa 11 wakiwemo wafanyabaishara wa Manispaa ya Moshi, Mkoani humo kwa kuuza na kusambaza jezi feki za timu ya Simba.

  9. Mbowe kuweka alama ya Sh100 milioni kumbukumbu miezi nane gerezani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameweka nadhiri ya kutafuta Sh100 milioni ili kujenga madhabahu katika kanisa la Nshara, Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa...

  10. Mbowe asema Chadema wataendelea kuhubiri haki, demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema kilio chao ni nchi kusimama katika haki, upendo na kwamba hilo wataendelea kulizungumza wakati wote bila hofu.

Previous

Page 114 of 145

Next