Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Utelekezaji wa wa watoto wakithiri Wilaya ya Mwanga

    Vitendo vya baadhi ya wazazi katika Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro kuwaacha watoto mikononi mwa bibi na babu zao, kumetajwa kuchangia ukatili wa kijinsia kwa watoto kutokana na wazee hao...

  2. RC Kagaigai aishukia Sido

    RC Kagaigai ameeleza kutoridhishwa na utendaji Sido mkoani Kilimanjaro na kuwataka kuwa wabunifu katika kuliendesha shirika hilo.

  3. Saratani kwa watoto wa kiume yatikisa KCMC

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Gileard Masenga ameishukuru Serikali kwa kutenga Sh4 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa jengo maalum la tiba ya mionzi katika hospitali hiyo na kwa...

  4. Kagaigai awaonya wananchi wanaovamia vyanzo vya maji

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha tabia ya kuvamia maeneo ya vyanzo vya maji yanavyomilikiwa kihalali na Mamlaka ya Maji safi na usafi wa...

  5. Waziri Mkenda aipigia chapuo chanjo ya Uviko-19

    Mbunge wa Rombo ambaye pia ni Waziri wa Kilimo nchini Tanzania,Profesa Adolf Mkenda amewataka wananchi wa jimbo hilo kutopuuza chanjo ya Uviko-19 na badala yake kuiamini Serikali na wataalamu wa...

  6. Waandishi wa habari watakiwa kuchangamkia fursa

    Waandishi wa habari wanaoandika habari za jamii za pembezoni wametakiwa kuchangamkia fursa ya ruzuku itakayotolewa kwao ili kuibua changamoto zinazowakabili jamii hizo.

  7. TRA yawatala wafanyabiashara kutunza kumbukumbu za kodi

    Mamlaka ya mapato nchini (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imewataka wafanyabiashara mkoani humo, kuwa wazalendo na kuhakikisha wanajenga utamaduni wa kutunza kumbukumbu ili kulipa kodi sahihi na kwa...

  8. Auawa kwa kuchinjwa Kilimanjaro

    Elice Patrick Matafu, Mkazi wa Kijiji cha Mrimbo Uuo, Kata ya Mwika Kaskazini, Wilaya ya Moshi ameuawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana nyumbani kwake.

  9. Meya wa Moshi aapa kupambana na makandarasi wa barabara

    Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu amesema atapambana na makandarasi watakaofanya kazi chini ya kiwango ndani ya Manispaa hiyo, akibainisha kuwa tayari Serikali imetenga zaidi ya Sh1bilioni...

  10. RC Kagaiga aagiza kuharakisha ujenzi Ofisi ya Halmashauri Moshi

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Stephen Kagaigai amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi ,Kastory Msigala kuharakisha ujenzi wa ofisi za makao makuu ya halmashauri hiyo zinazojengwa...

Previous

Page 125 of 145

Next