Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Kampuni kurejesha Sh27 bilioni Serikalini

    Kampuni ya Badr East Africa Enterprises, iliyokuwa ikitekeleza mradi mkubwa wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, imeridhia kurejeshe Sh27 bilioni ilizolipwa na Serikali baada ya kughushi nyaraka.

  2. Baba adaiwa kumuua mwanaye

    Jeshi la polisi mkoani kilimanjaro linamshikilia mkazi wa kijiji cha Challa wilayani Rombo, John Kavishe (77) kwa tuhuma za kumuua mwanaye, Amedeus (31) kwa kumkata na panga shingoni wakati...

  3. VIDEO: 18 wanusurika kifo ajali wachezaji Polisi Tanzania

    Wachezaji 18 wa timu ya Polisi Tanzania waliokuwa wakitoka mazoezini katika viwanja vya TPC Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wamepanda kuacha njia...

  4. Aweso ataka utafiti chanzo cha maji wilayani Same

    Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa maji bonde la Pangani kufanya utafiti wa chanzo cha maji katika kata ya Bendera wilayani Same kwa kuwa wananchi wa eneo hilo...

  5. Mabilioni yamwagwa kumaliza shida ya maji Same

    Wizara ya Maji itatumia Sh247 milioni kumaliza tatizo la maji katika kata ya Kihurio Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.

  6. Askofu Shoo: Corona ipo chukueni tahadhari

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,Askofu Fredrick Shoo amewakumbusha Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.

  7. Profesa Mkenda atilia shaka minada ya kahawa

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ameitaka bodi ya wakurugenzi wa bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) kutathmini wingi wa minada ya kahawa iliyogawanywa katika kanda tatu ili...

  8. Serikali yainyoshea kidole KNCU

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema kati ya vyama 43 vya ushirika vilivyofanyiwa ukaguzi na shirika la ukaguzi na usimamizi wa vyama vya ushirika nchini (Coasco), 12...

  9. Profesa Mkenda awashukia viongozi KNCU

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ameonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa chama kikuu cha ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) na kuwataka wanachama wake kuhakikisha...

  10. Moto wateketeza maduka sita Moshi

    Maduka sita yameteketea kwa moto eneo la njia panda katika mji mdogo wa Himo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.

Previous

Page 129 of 145

Next