RC Kagaigai awataka viongozi wa dini kuliombea Taifa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Stephen Kagaigai amewataka waumini na viongozi wa dini kuendelea kuliombea Taifa hasa katika kipindi hiki cha maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19.
RC Makongoro awataka ma DC kuwachukulia hatua watendaji wabovu Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Manyara wameagizwa kuwachukulia hatua watendaji wa vijiji na kata wanaofuja fedha za Serikalini
Wakuu wa Wilaya wapya 2021 Ahadi imetimia. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan jana kutekeleza ahadi yake ya kupangua wakuu wa wilaya aliyoitoa wiki iliyopita na katika uteuzi alioufanya usiku...
Serikali yaja na mkakati uhaba wa mafuta ya kula nchini Katika kukabiliana na uhaba wa mafuta nchini, Serikali imesema itasambaza mbegu za alizeti katika vyama vyote vya ushirika na kuziwezesha kampuni kubwa za uchakataji kuongeza uzalishaji.
Mkenda; hakuna uhaba wa sukari Serikali imesema hakuna uhaba wa sukari nchini huku ikiwaonya wafanyabiashara kuacha kupandisha bei ya sukari kiholela.
Bosi wa zamani KCBL kizimbani Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro imemfikisha mahakamani aliyekuwa mhasibu wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL),Ombeni Masaidi akikabiliwa na shtaka la...
Mwalimu adaiwa kumpa mimba mtoto wa mwalimu mwenzake Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana.
Meya Raibu awafutia faini madereva bajaji Moshi Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu amewaondolea madereva bajaji wa manispaa hiyo faini ya Sh50,000 ya maegesho waliyokuwa wakidaiwa baada ya kuchelewa kulipa fedha ya maegesho ambayo ni...
Mbuzi, kondoo wazua kizaazaa Moshi Mbuzi na kondoo wanaozagaa manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wametajwa kuwa kero kwa kuharibu miundombinu ya reli na mazingira ya stesheni ya treni.
Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa.