Wadaiwa kumshambulia baba wa kambo Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi, linachunguza kisa cha kukatwa mapanga kwa mkulima Salehe Rashidi, amba ye ni mkazi wa Kijiji cha Makangaga, Wilaya ya Kilwa; mkoani hapa, na watu wanaodaiwa kuwa ni...
PRIME Kivumbi uchaguzi chaibua wadau Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akisema mwakani kutakuwa na kivumbi cha uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, wanasiasa na wananchi wa kada mbalimbali wamesema ili kiwe kivumbi cha kweli ni...
DC Liwale awataka wakala wa vipimo kujikuta vijijini Mkuu wa wilaya ya Liwale, Goodluck Mlinga, amesema kuwa, Wakala wa Vipimo Mkoa wa Lindi (WMA), kujenga tabia ya kukagua, mizani mara kwa mara hasa maeneo ya vijijini, kwani kumekithiri...
GCLA yatakiwa kusimamia usalama wachimbaji wadogo Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga, amewataka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), kusimamia wachimbaji wadogo wa madini kwa kuwafuata na kutoa elimu migoni.
DED Ruangwa mbioni kuwakatia wakulima bima za afya Halmashauri ya Ruangwa, mkoani Lindi inatarajia kuanza kwa mchakato wa kuwakatia bima ya afya wakulima wake katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili wapate huduma hiyo kwa uharaka na...
Serikali yaja na mwarobaini bei ndogo kwa wazalishaji chumvi Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (Stamico) imetangaza kuanza ujenzi wa kuchakata chumvi katika Wilaya ya Kilwa ili kupandisha thamani bidhaa hiyo na kuondoa changamoto ya bei ndogo kwa...
14 mbaroni kufuatia vurugu za wakulima na wafugaji Lindi Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, amesema watu 14 wameshakamatwa, wakiwemo wakulima na wafugaji, kufuatia vurugu zilizotokea siku tatu zilizopita, ambapo inadaiwa mkulima kujeruhiwa...
Huduma ya CT-Scan yaanza kutolewa Hospitali ya Rufaa Sokoine Lindi Mganga Mfawidhi, Hospitali ya Sokoine mkoani Lindi, Alexander Makalla amesema kwa mara ya kwanza hospitali hiyo ya rufaa imaeanza kutoa huduma ya CT-Scan huku wagonjwa 28 tayari wametibiwa.
Wakulima waiomba Serikali kutoa ruzuku zao la ufuta Lindi Wakulima mkoani Lindi wameiomba Serikali kuwasaidia ruzuku ya pembejeo katika zao la ufuta ili waweze kumudu gharama za viuatilifu hivyo kwa ajili ya kuongeza uzalishaji.
Serikali yakerwa mapigano ya wakulima, wafugaji Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amesema kuwa serikali hairidhishwi na migogoro ya wakulima na wafugaji inayoendelea kwa baadhi ya mikoa inayosababishwa na mahusiano hasi...