Baba adaiwa kutumia panga kuwaunguza wanawe makalio Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani hapa, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio watoto wake wawili wa kiume.
Mume adaiwa kuua mke kisa ng’ombe Mkazi wa Kijiji cha Muwara, wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro, Magdalena Makishe (61) amefariki dunia kwa madai ya kupigwa na mumewe, Zakayo Kimaro anayetuhumiwa kuuza ng’ombe wa kulimia (maksai).
Nyani wageuka kero Rombo Madiwani Rombo pamoja wamemwomba Waziri wa maliasili na utalii, Dk Damas Ndumbaro kuangalia namna ya kuondoa nyani Wilayani humo ambao wamekuwa ni tishio kubwa kwa kuwajeruhi watoto wadogo...
Ilichokisema Serikali ya Tanzania kuhusu wawekezaji Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amewataka wawekezaji wa ndani kutumia fursa ya uhitaji wa pembejeo kuongeza uzalishaji.
Vifo vya ajali ya Same vyafikia 11 Idadi ya vifo vilivyotokea katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro vimeongezeka na kufikia 11 baada ya majeruhi mmoja kati ya saba waliolazwa...
Meya Moshi ataka uchunguzi kampuni zisizopeleka michango NSSF Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu amemwagiza meneja wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Large Materu kuzichunguza hospitali binafsi pamoja na kampuni zisizowasilisha makato ya wafanyakazi wao...
Maiti yasafirishwa kwenye kiroba, familia yachachamaa Ukweli ni upi, hili ndio swali kuu baada ya familia ya kijana Setas Tarimo (36) kudai mwili wake ulisafirishwa ukiwa katika mfuko wa sandarusi maarufu kama `kiroba’, lakini waliomsafirisha...
Mawaziri watua mpaka wa Holili sakata la mahindi yaliyozuiwa Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda na wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo wamewasili katika mpaka wa Holili wilayani Rombo ambapo baadhi ya watu wanadaiwa...
Mahindi yaliyozuiwa yaondoka na vigogo, RC Kilimanjaro acharuka Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amefanya ziara ya kushtukiza katika mpaka wa Holili wilayani Rombo, na kukuta shehena ya mahindi yakiwa yamepakiwa kwenye magunia eneo la soko la...
Mahindi yaliyozuiwa Kenya kuuzwa nchini Wakati tani 432 za mahindi zikikwama katika Mpaka wa Holili wilayani Rombo baada ya zuio la kuingizwa kwa bidhaa hiyo Kenya kwa madai ya sumu kuvu, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira...