Search

1002 results for Bakari Kiango :

  1. Walichokisema Rais Samia, Mufti Zubeir kuhusu Idd El Fitri

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Abubakar Zubeir amesema sikukuu ya Idd El Fitri ni siku ya kutenda mambo mema na kushirikiana zaidi na sio siku ya kufungua milango ya kutenda maasi.

  2. PRIME Ni vita ya vigogo uchaguzi wa kanda Chadema

    Dar es Salaam. Chadema hapatoshi. Ndivyo unavyoweza kusema kwa jinsi vigogo wa chama hicho kikuu cha upinzani wanavyotarajia kupigana vikumbo kuwania uenyeviti wa kanda mwezi ujao. Uchaguzi wa...

  3. Viongozi wapya Chadema waahidi ushindi Serikali za mitaa

    Wajumbe waliwachagua makatibu wa mikoa ya Ilala, Kinondoni na Ubungo wanaosubiri kuthibitishwa kwa mujibu wa taratibu za chama hicho

  4. Sh45 bilioni kusaidia kuboresha afya za kina mama

    Kwa nyongeza ya fedha hizo, mradi sasa utafikia tamati Agosti 2026.

  5. PRIME Siri uteuzi wa timu Nchimbi CCM

    Sasa ni rasmi kwamba timu atakayofanya nayo kazi kwenye sekretarieti, Katibu mpya wa Chama cha Mapinduzi, Dk Emmanuel Nchimbi imekamilika.

  6. CCM yawateua Makalla, Mongella, Jokate na Hapi

    Ni wenyewe, ndivyo unavyoweza kusema kuakisi uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) wa kuwateua John Mongella, Amos Makalla, Ally Hapi na Jokate Mwegelo kuziba nafasi nne...

  7. PRIME Mamilioni yanavyochangwa fomu urais wa Samia

    Ni vuguvugu la uchaguzi mkuu wa 2025, ambapo fedha zimekuwa zikichangwa kwa ajili ya gharama za fomu ya urais ndani ya chama chake.

  8. PRIME CAG atonesha kidonda upigaji mabilioni

    Wakati viongozi wakuu wa nchi wakipigia kelele upotevu wa fedha katika halmashauri nchini, Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imethibitisha kutokusanywa Sh61.15...

  9. Jinsi Chadema inavyosuka safu ya uongozi mikoani

    Chaguzi za kuwapata viongozi hao wajuu wa mikoa wakiwamo pia wa mabaraza ya vijana, wazee na wanawake wa Chadema zilifanyika kuanzia Machi 24 hadi Machi 28 mwaka huu

  10. PRIME Hii hapa kauli ya wadau ndege mpya ATCL

    Wadau wa sekta za biashara na usafiri wa anga wamechambua hatua ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), kuongeza ndege nyingine wakisema italiwezesha kutoa huduma kwa ufanisi katika masoko ya...

Previous

Page 3 of 101

Next