Search

208 results for Bertha Ismail :

  1. Hatua kwa hatua mafuriko Arusha

    Mvua kubwa iliyonyesha takribani saa 12 zilizopita katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, imesababisha athari kwa wananchi ikiwemo mazao kusombwa na maji, nyumba na maduka na stoo za...

  2. Tanzania kuimarisha usalama mtandaoni kuelekea uchumi wa kidigitali

    Lengo ni kuona Tanzania inavyoweza kuwa salama zaidi kwenye kwenye mambo ya kijamii na biashara bila kudukuliwa na wahalifu

  3. DCEA yatahadharisha matumizi ya skanka kwa vijana

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), imetoa tahadhari dhidi ya matumizi ya bangi mpya aina ya skanka, kwa madai kwamba ina madhara ya haraka tofauti na nyinginezo.

  4. Mchimba madini anywa sumu akienda kuripoti Polisi

    Alipotafutwa mkewe kujua chanzo cha tukio hilo, simu yake iliita bila kupokelewa na baadaye ukatumwa ujumbe mfupi kuwa wako kwenye msiba Wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi ya Munisi.

  5. Polisi Arusha yawanasa wanaodaiwa kutengeneza konyagi feki

    Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu kadhaa akiwemo mmiliki wa baa maarufu jijini Arusha ya Kipong kwa kosa la kutengeneza na kuuza kinywaji bandia aina ya Konyagi kinyume cha sheria.

  6. Ukinywa dawatiba na huumwi, sasa utaripotiwa

    Ni agizo la Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), linalolenga kunusuru watu na uraibu wa dawa za kulevya

    New Content Item (1)
  7. Watumishi wanne afya wafukuzwa kazi Arusha

    Wengine watatu wamesimamishwa kazi kwa mwaka mmoja kwa makosa mbalimbali, ikiwemo kuomba rushwa na kufanya mzaha kazini.

  8. Mambo matano atakayoanza nayo Mwakatobe AICC

    Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na kuongeza mapato ya taasisi hiyo, kubuni miradi mikubwa ya maendeleo, lakini pia kuboresha maslahi ya wafanyakazi wake na kuboresha huduma za taasisi hiyo za...

  9. Nape aiita sekta binafsi ulinzi anga mtandao

    Inaelezwa kuwa usalama wa anga la mtandao tayari unaonyesha kuwa na faida kwa sekta binafsi kibiashara, lakini pia inaelezwa endapo usalama utasimamiwa kwa kiwango cha juu watu watakuwa na imani...

  10. Viongozi wanaoshinda baa kitanzini

    Waziri wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema viongozi wa umma wanaoshinda baa, kulewa hadi kupitiliza, wasiishie kuonywa pekee.

Previous

Page 3 of 21

Next