Search

69 results for Filbert Rweyemamu :

  1. Dk Hoseah rais mpya TLS

    Mkurugenzi wa zamani wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah amechaguliwa kuwa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS).

  2. Mbunge Uganda awasilisha hoja kutambua mchango wa Magufuli

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) kutoka Uganda, George Odongo amewasilisha hoja maalumu ya kutambua mchango wa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli aliyefariki dunia...

  3. Ndugulile aanza ziara ya siku tatu Arusha

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile ameanza ziara ya siku tatu mkoa wa Arusha kukagua utendaji kazi wa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo.

  4. Biteko ataka Wizara yake iongezewe wataalamu

    Biteko amesema kwa sasa Wizara hiyo ina wafanya tathmini ya madini 16 ambao hawatoshi kwa kazi kubwa iliyopo.

  5. Chuo cha Usafiri wa Anga na Pro Wings watoa mafunzo ya kurusha drone Arusha

    Chuo cha Usafiri wa Anga nchini (CATC) kwa kushirikiana na Chuo cha Pro Wings cha Afrika Kusini kimeanza kutoa mafunzo ya kurusha ndege zisizo na rubani kwa muda wa wiki nne yanayofanyika katika...

    New Content Item (1)
  6. Naibu waziri utalii aongoza wanawake Hifadhi ya Tarangire

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja ameongoza wanawake kusherekea siku ya wanawake duniani kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Tarangire.

  7. Vita ya kibiashara

    Taarifa iliyotolewa juzi na wakala wa kilimo na chakula Kenya, ilieleza kuwa zuio hilo limezingatia usalama wa chakula, kutokana na kuwapo kwa kiwango kikubwa cha sumu kuvu ambayo ni hatari kwa...

  8. Madai mahindi kuzuiwa kuingia Kenya, Bashe awatuliza wafanyabiashara

    Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amewasili mkoani Arusha kutatua kile kinachodaiwa kuwa Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) imezuia magari ya mizigo yenye shehena ya mahindi...

  9. Ahadi ya Gambo yawakuna wafanyabiashara Arusha

    Changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji safi na salama katika soko kuu jijini Arusha imepata ufumbuzi baada ya mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo kutekeleza ahadi ya kuchimba...

  10. Kenya na Sudan Kusini zagombea ukatibu mkuu wa EAC

    Wakati mkutano wa Baraza la Mawaziri ukiendelea jijini Arusha, nchi za Kenya na Sudani Kusini zachuana kugombea nafasi ya Katibu Mkuu .

Previous

Page 3 of 7

Next