Search

1067 results for Habel Chidawali :

  1. Mbunge apeleka malalamiko bungeni kikokotoo kuwapunja wafanyakazi

    Sakata la kikokotoo kwa Wastaafu limetua tena bungeni leo Jumanne Novemba 8, 2023 lakini Serikali imesema hali ilivyo sasa kuna faida kubwa kwa wanuifaika.

  2. Wabunge waja na mbinu mpya kuzuia upigaji serikalini

    Wabunge wameibua sababu mbili za kutofikiwa malengo katika Mpango wa Maendeleo, kubwa ikiwa kutosomana mifumo ya makusanyo ya fedha na ufujaji wa mapato ya Serikali kwa baadhi ya watumishi.

  3. DC Lijualikali aagiza Lema kukamatwa

    Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali ameagiza Jeshi la Polisi kumsaka popote alipo na kumkamata Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ili ahojiwe...

  4. Mbunge Kamani atilia shaka vijana, wanawake kupata mikopo asilimia 10

    Mbunge wa Viti Maalumu Kundi la Vijana, Ng’wasi Kamani ametilia shaka fedha za mkopo wa vijana, wanawake na wenye ulemavu ambazo hutolewa na halmashauri kwamba huenda ziisitolewe katika mwaka wa...

  5. Mbunge wa Mbarali alipuka wasaidizi wa Rais wasiwe wavivu kufikiri

    Mbunge wa Mbarali (CCM), Bahati Ndingo amewaomba wataalamu wanaopata nafasi ya kumshauri Rais wasiwe wavivu wa kufikiri.

  6. Ataka Bunge lisitishe shughuli zake kujadili vurugu, watu kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi.

  7. Bashungwa ashangaa wingi wa makandarasi wazawa bila kazi

    Waziri amesema ipo haja kuangalia jambo hilo kwa mawanda mapana kwani haina tija kama watu ni wengi lakini kazi wanazozifanya ni kidogo ambazo zikigawanywa kwa mtu mmoja inakosa maana kabisa.

  8. Mapya walimu wakuu walioadhibiwa kisa wimbo wa Zuchu

    Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali inalojukumu la kusimamia malezi shuleni na kudhibiti ikiwemo muziki wenye nyimbo zinazochochea ngono, pombe na kadhalika.

  9. Serikali yakataa ombi Mkwawa kuwa chuo kikuu

    Dodoma. Serikali haina mpango kukipandisha hadhi Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa kilichopo Iringa na kuwa chuo kikuu. Hata hivyo, Serikali imeahidi kuendelea kukifanyia ukarabati ikiwemo majengo...

  10. Wabunge wataka wezi mali za umma kunyongwa, kukatwa vichwa

    Ni wazi kuwa wabunge wamelipuka, sasa wanataka wabadhirifu wa mali ya umma kunyongwa.

Previous

Page 3 of 107

Next