Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1116 results for Hadija Jumanne :

  1. Shirima kortini madai ya kujitambulisha kama Spika wa Bunge

    Mkazi wa Kipunguni, Charles Shirima, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 42 yakiwemo kujitambulisha kuwa yeye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

  2. Mdhamini jela miezi sita kwa kumtorosha mshtakiwa, atakiwa kulipa Sh5 milioni

    Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha miezi sita jela na kulipa bondi ya Sh5 milioni mdhamini Erick Mwasongwe, baada ya kushindwa kuhakikisha mshtakiwa...

  3. PRIME Mahakama yatoa amri tano kesi ya Lissu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa amri tano ikiwamo kuridhia, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu apelekwe mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi yake ya kuchapisha taarifa za uongo...

  4. PRIME Hakimu atoa onyo, Lissu agomea tena mtandao

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hadi Mei 19, 2025 baada ya upande wa Jamhuri kutokamilisha upelelezi.

  5. Mahakama yabadili gia kesi ya Lissu

    Uamuzi huo umetolewa leo Jumanne, Mei 6, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa kutolewa uamuzi.

  6. Kesi ya Boni Yai na Malisa yachukua sura mpya, Serikali yakata rufaa Mahakama Kuu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali ombi la Serikali la kuruhusu kuwekewa ulinzi kwa mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayowakabili...

  7. Chama cha NRA chaita vijana kugombea nafasi za uongozi

    Tayari chama hicho kimefungua pazia la kutoa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenda kuchukua fomu ofisi kwao kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali.

  8. Mfanyabiashara kortini akidaiwa kutakatisha Sh10 bilioni

    Mfanyabiashara Bushra Ali amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka 13, yakiwemo kughushi nyaraka, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha...

  9. Jela miaka 20 kwa kukutwa na vipande vya meno ya tembo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, Pascal Daima (43) kutumikia kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na vipande viwili vya meno ya tembo vyenye thamani ya...

  10. UVCCM yawaita vijana kujiandikisha kupiga kura, kugombea

    Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Jesca Mshama amewataka vijana kuchangamkia fursa ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia ngazi ya udiwani...

Previous

Page 3 of 112

Next