Search

137 results for Happy Lazaro :

  1. Mpango usafirishaji wa dharura wazazi, watoto wachanga wazinduliwa Arusha

    Arusha. Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamezindua mpango wa usafirishaji wa dharura za wazazi na watoto wachanga mkoa wa Arusha ujulikanao kama m-mama ambao utawezesha kurahisisha...

  2. Halmashauri Jiji la Arusha yakabidhi hundi Sh2.6 bilioni kwa vikundi 169

    Arusha. Halmashauri ya jiji la Arusha imekabidhi hundi ya Sh2.6 bilioni kwa vikundi 169 vya wanawake, vijana na walemavu vilivyokidhi vigezo vya kikanuni kupata mikopo hiyo. Akizungumza leo...

  3. Waomba sheria ya watu wenye ulemavu mwaka 2004 ifanyiwe marekebisho

    Arusha. Wadau kutoka sekta ya umma na binafsi wameshauriwa kuboresha huduma za afya kwa watu wenye ulemavu ikiwemo kujenga miundombinu ya kutosha katika vituo mbalimbali vya afya pamoja na...

  4. Serikali kuboresha maeneo ya makumbusho

    Arusha. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema kiasi cha Sh2.2 bilioni za Uviko-19 zilizotolewa kwa ajili ya kuboresha Makumbusho ya Malikale zimeendelea kuboresha kwa kiasi...

  5. Brela yawataka wafanyabiashara kufuata sheria

    Arusha. Wamiliki wa kampuni mbalimbali nchini wametakiwa kufuata sheria na taratibu kwa kufanya biashara zao kwa njia halali badala ya kupitisha vitu vya kiuhalifu kwani sheria...

  6. Wadau wanolewa kupambana ufisadi

    Arusha. Wadau mbalimbali kutoka taasisi za serikali na binafsi kutoka Tanzania bara na visiwani wamejengewa uwezo wa kitaalamu jinsi ya kuzuia, kuripoti na kudhibiti ufisadi pamoja na...

  7. ‘Kapu la wana’ la SBL latema washindi saba

    Serengeti Breweries Limited (SBL) kupitia kampeni ya bia yake ya Pilsner lager iliyopewa jina la ‘Kapu la wana’, imekabidhi zawadi ya pikipiki na zawadi nyingine kwa washindi saba katika droo...

  8. Serikali yabuni mfumo mpya ukikaidi kulipa kodi ya nyumba huingii ndani

    Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Arusha wamejipanga kuhakikisha wanatumia mfumo maalumu wa kitasa janja (Smart Lock)...

  9. Wadau wakutana Arusha kujadili masuala ya ushoroba

    Arusha. Wadau mbalimbali kutoka sekta binafsi na sekta ya umma wamekutana jijini Arusha kujadili biashara endelevu kwenye ushoroba wa kwa kuchinjwa unaounganisha njia kati ya hifadhi ya...

  10. Tume ya Tehama kuendeleza wabunifu nchini

    Arusha. Serikali kupitia Tume ya Tehama imeanza kutekeleza mpango wa kukuza na kuendeleza wabunifu wa Tehama nchini kwa kuanzisha vituo kila mkoa ili kuwawezesha vijana kupata sehemu maalumu ya...

Previous

Page 3 of 14

Next