Search

522 results for Mgongo Kaitira :

  1. Tani 254 za sukari zaanza kutua Mwanza, wafanyabiashara wataka bei iongezeke

    Kwa mujibu wa tangazo la Serikali Na. 40B lililotolewa Januari 23, 2024, kilo ya sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa itauzwa kati ya Sh2,650 hadi 2,800 kwa bei ya jumla na Sh2,800 hadi Sh3,000...

  2. Waliofanyiwa upasuaji wa koo uhitaji njia mbadala ya upumuaji

    Wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo ni waliofanyiwa upasuaji wa saratani ya koo, waliopata ajali na wagonjwa mahututi.

  3. Kutotaka kuonekana washamba, sababu wanavyuo kuvuta shisha

    Vijana wengi hutoka maeneo ya pembezoni na kwenda mijini kusoma na kutafuta maisha, ili waonekane na wao ni wa mjini na siyo washamba, hulimbuka na kutumia vilevi mbalimbali ikiwamo shisha.

  4. Chanzo cha mwenyekiti CCM Tabora kufariki akiwa ofisini

    Alikuwa akisubiria ujio wa Mwenyekiti wa Jumuiya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, aliyetarajiwa kuanza ziara yake ya chama mkoani humo.

  5. PRIME Maji sasa ni mateso kila kona Tanzania

    Kwa wakazi wa eneo kama vile Mbezi Msumi jijini Dar es Salaam, kuna nyakati hulazimika kununua ndoo moja kwa Sh1, 300.

  6. PRIME Chadema yafunga jalada kina Mdee

    Wabunge 19 wa viti maalumu walifungua shauri mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama Chadema, wakidai hawajasikilizwa

  7. Huu ndiyo ujumbe wa Chadema kupitia mabango

    Baadhi ya mabango yenye ujumbe yanasomeka; ‘tozo, kodi, rushwa ni chanzo cha umasikini kwa wavuvi.’

  8. Dk Slaa kushiriki maandamano Chadema Mwanza

    Dk Wilbrod Slaa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, amethibitisha kushiriki kwenye maandamano hayo yatakayoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

  9. PRIME Friends of Lowassa wafunguka mazito

    Kama kuna wakati mgumu ambao Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa amewahi kuupitia, basi ni pale alipoamua kuondoka CCM na kuhamia Chadema, imeelezwa.

  10. Katibu Bakwata Kagera akatwa mkono, mkataji auawa kwa kipigo

    Kamanda Chatanda amesema uchunguzi wa awali umebaini Abdulmalick kabla ya kutekeleza tukio hilo, alikuwa mtunza stoo ya vifaa katika mradi wa ujenzi wa jengo la Bakwata Complex linalojengwa...

Previous

Page 3 of 53

Next