Bulaya ataka Serikali itibu waraibu wa dawa za kulevya
"...Nenda Muhimbili zaidi ya watu 1,200 (Dar es Salaam), nenda kliniki ya Tanga zaidi ya watu 1,000, lakini walioathirika ambao kwa takwimu zilizopitwa na wakati ni 530,000. Watu 30,000 ni ambao...