Wananchi wafunga barabara baada ya mwanafunzi kugongwa Wananchi wameweka mawe katika barabara kuu ya Iringa – Mbeya ili kushinikiza mamlaka za serikali kuweka matuta katika eneo hilo kwa sababu kumbukumbu zinaonyesha kwamba eneo hilo limekuwa na...
Watu 10 wakamatwa wizi wa Sh2.12 bilioni za Selcom Iringa Jeshi la Polisi mkoani Iringa limesema fedha hizo zimeibiwa kwa nyakati tofauti Novemba 2021, ambapo wakala mmoja alizihamisha kwenda namba za simu na kisha kuzichukua kupitia mawakala wa huduma...
Mikoa minne yapokea miti milioni moja kulinda mazingira Wakulima laki moja wanufaika na upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kujiinua kiuchumi.
DC Mabarali aiagiza TFS Mkuu wa Wilaya ya Mbarali (DC), Reuben Mfune amewaelekeza wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) kuhakikisha wananchi wote wanaokata miti na kuisafirisha kwa baiskeli na pikipiki au mkaa na...
Miti 7,000 yapandwa kulinda vyanzo vya maji Mbarali Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kwa kushirikiana na halmashauri ya Wilaya ya Mbarali imezindua mpango wa upandaji miti rafiki kwenye vyanzo vya maji vinavyotiririsha maji yake kwenye mto Ruaha mkuu...
Vijana wapewa mafunzo ya ujasiriamali Vijana waishio katika mazingira magumu wilayani hapa, wamepewa mafunzo maalumu ya uanzishaji miradi ya kiuchumi itakayowawezesha kuendesha maisha yao na kusaidia familia zao.
Wahitimu mafunzo ya misitu waaswa kujiajiri Wahitimu wa mafunzo stadi ya misitu na uchakataji wa mbao wameshauriwa kujiunga vikundi na kuoata mikopo kufungua viwanda vyao.
Takukuru yaeleza ilivyomnasa trafiki Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Iringa imethibitisha kukamatwa kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani, Steven Mchomvu ambaye hivi karibuni aliripotiwa na baadhi ya...
Wahamiaji haramu 40 wakamatwa Iringa Jeshi la Polisi mkoani Iringa linawashikilia watu 40 wanaodaiwa kuwa raia wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali kupitia mpaka wa Namanga wakisafirishwa kuelekea mpaka wa Tunduma...
Watatu wanaswa na meno ya tembo Iringa Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limewakamata watu watatu wakisafirisha meno mawili ya tembo na vipande 17 yenye uzito wa kilo 69.5.