Takukuru ‘kukomaa’ na Polisi waliofungwa miaka 20 kwa kuchukua Sh73 milioni za msaidizi wa Mwalimu Nyerere
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi Januari 13, 2024, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema kwa sasa wanasubiri nakala ya hukumu hiyo ndipo waone hatua wanazoweza...