Search

200 results for William Shao :

  1. Chato: Kijiji kilichokaribia kuwa makao makuu ya mkoa-2

    Katika mfululizo wa mapitio ya kitabu, 'I am the State: A President's Whisper from Chato' (Mimi ni Dola: Mnong'ono wa Rais kutoka Chato) leo tunaangazia sura yake ya pili inayozungumzia Chato...

  2. JPM alivyosukuma Uwanja wa Ndege Chato

    Miaka miwili tangu Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli alipoaga dunia, waandishi wanne wakongwe nchini—Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu—wameandika na kuzindua kitabu...

  3. Mackenzie na sakata la vifo vya waumini Kenya

    Wakati kiongozi wa dhehebu tata la Kikristo Kenya, Mchungaji Paul Mackenzie akitarajiwa kufikishwa mahakamani wiki ijayo, Mwinjilisti maarufu wa Televisheni nchini humo, Ezekiel Odero amekamatwa...

  4. Matukio muhimu ya Dk Magufuli yanayobaki kama alama nchini

    Juni 4, 2015: Katika Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma, Dk Magufuli alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...

  5. Tetemeko ardhi bado lazitesa Uturuki, Syria

    Tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.4 limelikumba jimbo la kusini mwa Uturuki la Hatay na eneo la Aleppo kaskazini mwa Syria usiku wa kuamkia jana Jumanne na kuua watu sita na kuzua hofu mpya baada...

  6. Nida yatoa ruksa kubadilisha kitambulisho kwa kulipia

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema ni ruksa kwa yeyote anayetaka kubadilisha kitambulisho chake cha Taifa kwa kulipia gharama ya Sh20,000.

  7. Wadau wagawanyika ukomo vitambulisho vya Nida

    Mpango wa Serikali wa kuondoa ukomo wa muda wa vitambulisho vya Taifa unaonekana kuwagawa wadau kwa baadhi kuunga mkono huku wengine wakipinga.

  8. Puto lasababisha mvutano kati ya China, Marekani

    Beijing jana ilizidisha kulaani uamuzi huo wa Washington kudungua puto hilo lililopita kwenye anga ya nchi hiyo na kudai kitendo hicho kinaweza kuwa, “pigo kubwa” kwa uhusiano baina ya nchi mbili...

  9. Papa Benedict XVI kuzikwa leo

    Kanisa Katoliki duniani lina taratibu zinazohusu vifo vya papa na mazishi yake, lakini zimeundwa mahsusi kwa ajili ya vifo vya mapapa walio madarakani.

  10. Ochuka arejeshwa Kenya, anyongwa-10

    Toleo lililopita tuliona jinsi Serikali ya Daniel Arap Moi ilivyowakamata watu wengi na wengine kuwekwa kizuizini wakihusishwa na tukio la mapinduzi ya Agosti 1, 1982.

Previous

Page 4 of 20

Next