Search

992 results for Herieth Makwetta :

  1. Gyumi: Serikali isitishe ununuzi wa mashangingi, inunue pedi shuleni

    Mwanaharakati Rebecca Gyumi amesema Serikali iangalie namna ya kuanzisha jitihada za kuwafanya watoto wa kike wabaki shuleni kwa kutoa taulo za kike bure.

  2. PRIME VIDEO: Watoto waliopitiliza uzito watoka hospitali, mama asimulia matibabu yao

    Wametoka baada ya kupata tiba lishe iliyoanza kuonyesha matumiani ya kupungua, huku mama wa watoto hao Vumilia Elisha akisema hana uhakika wa kuendeleza tiba hiyo kutokana na hali yake ya kiuchumi.

  3. PRIME Blandina Nyoni afunguka alivyotaka kukataa uteuzi wa Rais

    “Nilimpigia hata aliyekuwa msaidizi wa Rais wakati huo nikamuuliza hivi naweza kukataa? Akaniambia ‘Rais amekuteua halafu ukatae, hivi unajipenda?’

  4. PRIME Unachopaswa kujua kuhusu chakula kilichoongezwa virutubishi

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele ulioongezwa virutubishi, maharage na mafuta ya kupikia vilivyotolewa msaada na Wizara ya Kilimo ya Marekani, ni salama kwa matumizi ya binadamu.

    New Content Item (1)
  5. Mabeyo asimulia kabla, baada kifo cha Magufuli

    Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Tanzania ,Jenerali mstaafu Venance Mabeyo amesema yaliyojiri kabla na baada ya kifo cha Rais huyo wa awamu ya tano

  6. PRIME Serikali lawamani matumizi ya 'energy drinks'

    Kushindwa kuweka sera madhubuti na kudhibiti utumiaji holela ya vinywaji vikali na vile vya kuongeza nguvu maarufu kama energy drinks, kumetajwa ni chanzo cha kukithiri na hatimaye madhara kwenye...

  7. PRIME Pombe, 'energy drink' zinavyomaliza vijana

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.

  8. Mitaji yatajwa changamoto wafanyabiashara wanawake

    Mtendaji Mkuu wa Ecobank Tanzania, Charles Asiedu, amesema licha ya kukaribia uwiano wa jinsia 50 kwa 50, changamoto kubwa inayopaswa kutatuliwa kwa wafanyabiashara wanawake ni usimamizi wa fedha.

  9. JK aeleza alivyopambana na udumavu enzi za uongozi wake

    Kikwete ambaye ni mjumbe wa bodi ya kimataifa ya lishe iliyopo Canada amesema aliikuta nchi ikiwa na asilimia 42 ya watoto wenye udumavu

  10. Kupikia umeme ni nafuu kuliko nishati nyingine - Tafiti

    Mwenyekiti wa Tarea, Mhandisi Prosper Magari amesema majiko hayo yanaweza kutumika kupikia maharagwe, nyama, makande kwa muda mfupi wa dakika 25 mpaka 45 na ikatumika uniti moja ya umeme

Previous

Page 5 of 100

Next