Waandishi wa habari wazuiwa uchaguzi CCM Kagera Baadhi ya waandishi wa habari wamezuiliwa kuingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kagera huku ikielezwa kuna waandishi wamealikwa kwa ajili ya kuandika habari...
Polisi waua watatu wanaodhaniwa ni majambazi Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera limewaua watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi baada ya majibizano ya risasi.
Mapya ajali ya Precision washirika wa Majaliwa wakiibuka Ni vijana waliowezesha abiria 24 ajali ya ndege kuokolewa
Wataalamu kutoka Ufaransa watua Bukoba kukamilisha uchunguzi Amesema ajali ya ndege ya Precision Air iliyosababisha vifo vya watu 19 na majeruhi 24, inaendelea kufanyiwa uchunguzi na kwamba kikosi cha wataalamu kutoka Ufaransa kimekwenda kuchukua vitu...
Rafiki zake Majaliwa waomba nao wakumbukwe Majaliwa amejipatia umaarufu baada ya kujitosa na wenzake katika ajali ya ndege ya Precision iliyopata ajali wakati ikijiandaa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera, ambapo...
Rafiki zake Majaliwa waomba nao wakumbukwe Majaliwa amejipatia umaarufu baada ya kujitosa na wenzake katika ajali ya ndege ya Precision iliyopata ajali wakati ikijiandaa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera, ambapo...
Mume asimulia mkewe, mtoto walivyonusurika kifo Levina Rutinda na mtoto wake, Emil Mwesigwa ni kati ya abiria 24 waliookolewa kwenye ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba Novemba 6, mwaka huu.
Ndege iliyozama Ziwa Victoria yatolewa Ndege hiyo ambayo ilizama kwenye maji karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera Novemba 06, 2022 ilisababisha vifo vya watu 19 huku wengine 24 wakinusurika.
Timu tatu kuchunguza ajali ya ndege ya Precision Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amezitaja timu tatu zitakazochunguza ajali ya kampuni ya Precision iliyotokea Novemba 6 Bukoba, mkoani Kagera, kuwa ni pamoja na Kitengo maalum cha...