Intaneti ya bure Mlima Kilimanjaro Moshi. Zaidi ya Watanzania 200 wanaopanda Mlima Kilimanjaro kuelekea siku ya maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanganyika, watagharamiwa huduma za mawasiliano ya intaneti bure na Shirika la...
Vifo vyafikia 49 Hanang, wanajeshi 350 kushiriki uokoaji Maporomoko ya matope yaliyoikumbaWilaya ya Hanang’ yalisababishwa na mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia Jumapili Desemba 3, 2023 ambapo sehemu ya Mlima Hanang' ulimomonyoka.
Vifo vyafikia 20 mafuriko Hanang Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 3, 2023 mkoani Manyara imesababisha mafuriko ya tope katika eneo la Katesh na Gendabi wilayani Hanang na kuua watu 20 na kujeruhi 70 mpaka...
Watano wafariki dunia, 12 majeruhi mafuriko Hanang Watu watano wamefariki dunia na 12 wamejeruhiwa huku baadhi wakiwa hawajulikani walipo wilayani Hanang' mkoani Manyara, baada ya mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 3, 2023...
Arejeshewa pete ya uchumba baada ya maziko Bibi harusi huyo, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Sua, mkoani Morogoro, alivalishwa pete ya uchumba na mchumba wake huyo, Septemba 2, 2023 na Novemba 24, mwaka huu alifanyiwa...
Vilio, simanzi vyatawala maziko ya bibi harusi mtarajiwa Bibi harusi huyo, Rehema Chao (39) amezikwa yeye na mama yake mzazi, Agness Chao (75) kijijini kwao Nganyeni, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro huku vilio na simanzi vikitawala katika maziko...
Mchungaji aeleza alivyojiandaa ndoa ya marehemu Rehema Rehema ambaye alikuwa ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari Sua, yeye na pamoja na mama yake, walifariki Novemba 28, 2023 yeye, mama yake pamoja na mfanyakazi wa ndani Irene Shija (15), baada ya gari...
Harusi iliyogeuka kuwa msiba Mwili wa Rehema umeagwa kwa kuangaliwa picha baada ya familia kueleza kuwa mwili wake umeharibika kutokana na ajali hiyo, huku mwili wa mama yake ukiangaliwa.
Tawja: Waathirika udhalilishaji mtandaoni waoga kuripoti Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (Tawja) Mkoa wa Arusha, kimetoa elimu kuhusu kupinga ukatili wa kijinsia hasa udhalilishaji wa kimtandao na kuwahamasisha watu kuripoti kwenye...
Bwana harusi mtarajiwa amlilia mchumba wake aliyefia ajalini "Msiba huu tumeupokea tofauti na zaidi ya maumivu kama ambavyo hakuna mtu anayeweza kupokea msiba na kuukubali, sasa hivi tuko kwenye maandalizi ya msiba hatuwezi kuzungumza chochote kwa sasa."