Mabasi yaanza safari yakichelewa kwa saa sita mkoani Songwe
Hatimaye Mabasi yanayofanya safari ya kutoka Tunduma mkoani Songwe kuelekea mikoa ya Mbeya, Iringa, Sumbawanga, Dodoma, Arusha, na Dar es salaam yameanza safari zake leo Februari 23, 2022 mchana...