124 wadakwa Katavi kwa makosa mabalimbali Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi linawashikiliwa watu 124 wakituhumiwa kufanya makosa tofauti, kati yao wanne wanahusishwa na tukio la mauaji ya watoto wawili.
Kizungumkuti uzalishaji pamba Katavi Usimamizi mbovu katika uzalishaji wa pamba mkoani Katavi, watajwa kama chanzo kutofikia malengo ya uzalishaji na hivyo kushindwa kukidhi mahitaji ya kinu cha kuchambua pamba cha kampuni ya NGS.
Watoto wawili waua kwa mapanga, wivu wa mapenzi wahusishwa Watoto wawili Maria Mtemvu (13) na Ester Enock (2); wakazi wa kitongoji cha Kabatini Kijiji cha Mpimbwe Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika, wameua kikatili kwa kukatwakatwa mapanga chanzo...
Serikali yazuia matumizi ya msitu Nkamba Katavi Timu ya Mawaziri wanane wa kisekta iliyotembelea maeneo yenye mwingiliano na mipaka ya hifadhi, imeamuru wakazi wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kutofanya shughuli za kibinadamu katika msitu...
Wakulima wa tumbaku wagoma kusaini mkataba na kampuni ya ununuzi Wakulima wa zao la tumbaku 748 wa Chama cha Msingi Magunga (Amcos) Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika wamekataa kufunga mkataba wa uzalishaji na ununuzi na Kampuni ya Mkwawa kwa msimu wa kilimo...
Wananchi watoa ekari 25 kujenga sekondari ya wasichana Ni katika hatua ya kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu, wakazi wa Kijiji cha Songambele, Halmashauri ya Nsimbo, mkoani Katavi, wametoka eneo la ekari 25, kwa ajili ya ujenzi wa sekondari...
Madiwani Tanganyika wacharuka, wataka DED asimwangushe Rais Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, wameitaka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kutowachonganisha na wananchi kwa kushindwa kukamilisha miradi inayotekelezwa, kupitia mapato ya...
Madaktari bingwa 12 BMH watua Katavi Timu ya Madaktari bingwa na wabobezi 12 wa magonjwa yasiyoambukiza kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa Makao Makuu Dodoma, wameanza kutoa huduma za uchunguzi, matibabu na upasuaji mkoani Katavi...
Mnada wa Mnyagala hauna vyoo tangu umeanzishwa Wafanyabiashara wa mifugo zaidi ya 2000 katika mnada wa Mnyagala, wilayani Tanganyika, wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa huduma ya vyoo tangu mnada huo uanzishwe 2012 ambapo inawalazimu...
Wakulima Mnyagala waomba kufutiwa deni la Sh36 milioni Wakulima wanaotumia skimu ya umwagiliaji Mnyagala, wilayani Tanganyika, wameiomba Tume ya Taifa Umwagiliaji (NIRC), kuwafutia deni la Sh36 zitokanazo na ada pamoja na tozo, kwa kuwa hawawezi...