Search

265 results for Thobias Sebastian :

 1. Yanga yaipigisha Mazembe kwata kwa Mkapa

  Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika Yanga, imepata ushindi wa kwanza nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe kutokea DR Congo.

 2. Simba yaizidi akili Horoya

  Winga wa Simba, Pape Sakho alisema wanakwenda kucheza mechi ngumu ila wachezaji wamekubaliana kila mmoja kwa nafasi yake kupambana ili timu ianze kwa matokeo mazuri.

 3. Robertinho atoa ramani ya vita Simba

  Kocha huyo aliyeeenda Brazili kwa ishu zake binafsi, jana alionana na wachezaji akafanya kikao kifupi na wasaidizi wawili, Juma Mgunda na Ouanane Sellami ili kuelezwa kile kilichofanyika kwenye...

 4. Mbrazili Simba akomalia matano

  Robertinho alisema jambo la kwanza amefanya mabadiliko ya kimfumo kutokea 4-2-3-1, aliyokuta timu inatumia mara ya mwisho na chini yake anapenda kutumia mifumo miwili 4-2-4 au 4-1-3-2.

 5. Baleke aanza na mkwara Simba

  Beleke alisema anamfahamu, John Bocco kabla ya kuja Tanzania aliweza kumfuatilia na kugundua kuwa anajua kufunga na msimu huu amefunga mabao tisa, hadi sasa ingawa mwanzoni hakuanza vizuri.

 6. Yanga yalipa kisasi, Mayele bado moja

  Yanga baada ya mchezo huo kupoteza ilicheza mechi sita za ligi na kushinda zote hadi unakutana tena na Ihefu leo (Jumatatu), Uwanja wa Benjamin Mkapa.

 7. Okwa, Akpan ni Ihefu

  NYOTA wawili wa Simba, Nelson Okwa na Victor Akpan waliosajiliwa kwenye dirisha kubwa la usajili msimu huu wamekubali kutolewa kwa mkopo kwenda Ihefu kwenye dirisha ambalo litafungwa kesho...

 8. Simba yamtumia straika mkataba

  MEZANI kwa mabosi wa Simba kuna majina ya wachezaji wapya wanne kati ya hao watatu watasajili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, licha ya kubaki siku mbili kutokea leo, huku...

 9. Uraia wawakwamisha Akpan, Okwa kuingia Dubai

  Umoja wa Falme za Kiarabu, uliwekwa sheria miezi miwili iliyopita wa kuzuia raia yeyote kutoka Nigeria kupata viza, kitu kilichowakwamisha nyota hao ambao wamepewa programu maalumu ya kujifua...

 10. Mbrazili Simba aanza na straika, kiungo fundi

  Simba inahitaji kiungo wa ukabaji ili kuongeza nguvu eneo hilo ambalo kwa sasa anatumika zaidi Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute ikitokea mmoja wapo amekosekana kumekuwa hakuna utulivu kwenye eneo...

Page 1 of 27

Next