Search

65 results for Angetile Osiah :

 1. Nyerere alivyoiandaa CCM kwa vyama vingi-2

  Katika toleo lililopita tulianza kuangalia namna Baba wa Taifa, Julius Nyerere alivyokuwa na pande mbili katika suala la demokrasia, upande mmoja alionekana ni mkandamizaji na upande mwingine...

 2. Nyerere alivyoiandaa CCM kwa vyama vingi

  Julius Kambarage Nyerere anaweza kuzungumziwa na baadhi ya wanasiasa na watu wengine kama kiongozi aliyekandamiza demokrasia kutokana na uamuzi wa Serikali yake wa mwaka 1965 wa kufuta mfumo wa...

 3. Dhambi inatoka wapi kutamani cheo cha IGP?

  Wale watoto wa Yakobo walichukizwa na kitendo cha mdogo wao Yusuf kuota ndoto zilizoonyesha kuwa siku moja watamuinamia kumsujudu. Kosa la Yusuf lilikuwa ni kuwashirikisha ndugu zake kuhusu maono...

 4. Ghana v Nigeria: Mpambano unaogonga vichwa Kombe la Dunia Afrika

  Kama kuna mechi inazungumziwa sana kuliko nyingine nne za hatua ya mwisho ya kupata wawakilishi wa Afrika katika fainali za Kombe la Dunia, basi ni Ghana dhidi ya Nigeria, wababe wawili wa Afrika...

 5. Kushambulia kwa papara kunaigharimu Simba

  Kama ungekuwa unaangalia mechi ya jana kwa kuvutiwa na kupeleka mipira mbele, ungeweza kusema Simba ilicheza kwa kiwango cha juu dhidi ya wenyeji Asec Mimosas katika mechi ya mzunguko wa pili...

 6. Hatihati timu za England, Hispania kukutana nusu au fainali Ulaya

  Baada ya klabu za nchi moja kukwepa kukutana katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya-- England na Hispania-- ratiba iliyopangwa leo (Ijumaa) itazikutanisha timu nne kutoka nchi hizo mbili.

 7. SIO ZENGWE: Kulalamika serikalini ni kusababisha taharuki?

  WAKATI Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka (TFF) ilipomtia hatiani makamu mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela kwa kosa la uchochezi, nilihoji jinsi chombo hicho kilivyoweza kufikia...

 8. SIO ZENGWE: Tumekimbilia kuishinda Simba kwa kura ishu ya GSM

  Real Madrid, Barcelona na Athletic Bilbao zimekataa kuidhinisha mpango uliopendekezwa na Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) wa kuuza asilimia 11 ya mapato yao kwa kampuni ya uwekezaji ya Marekani...

 9. SIO ZENGWE: Sakata la Manara linafikirisha mageuzi yetu

  NI bahati mbaya sana kwamba macho ya wengi wiki iliyopita yalielekezwa katika kuangalia kama Kilele cha “Wiki ya Wananchi” kitafunika au la, hasa wakiangalia ushiriki wa Haji Manara, ambaye...

 10. Lukaku, Antonio Pogba waongoza kwa ubora Ligi Kuu

  Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Romelu Lukaku, ambaye aliongoza kazi ya kuizamisha Arsenal Jumapili iliyopita, anaongoza kw aubora miongoni mwa wanasoka wanaoshiriki Ligi Kuu ya England, ambayo...

Previous

Page 2 of 7

Next