Search

137 results for Happy Lazaro :

  1. Sh24.4 bilioni kusaidia vijana kuacha dawa za kulevya

    Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera na Uratibu Jenista Mhagama amesema Serikali ametenga Sh24.4 bilioni kuwasaidia vijana waliotumia madawa ya kulevya.

  2. IAA yafungua dawati la jinsia, wanafunzi waaswa

    Arusha. Wanafunzi vyuoni wameaswa kujiepusha na vitendo vya matumizi ya vilevi kwani vinachangia kwa kiasi kikubwa kufanyika kwa ukatili wa kijinsia. Hayo yamesemwa leo Juni 20, 2023 jijini...

  3. Ndalichako awataka waongoza watalii nchini kuwa mabalozi

    Arusha. Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amewataka waongoza watalii nchini kuwa mabalozi wazuri katika kutangaza vivutio vya utalii sambamba na kuwapeleka...

  4. Waratibu Elimu ya Afya mikoa 26 wajengewa uwezo

    ARUSHA. Waratibu elimu ya afya kwa umma kutoka mikoa 26 Tanzania Bara wamejengewa uwezo katika kudhibiti wingi wa taarifa na kuepuka upotoshaji unaoweza kujitokeza katika jamii wakati kuna...

  5. Ujenzi Mahakama haki za binadamu kuanza

    Serikali imekabidhi rasmi eneo la hekari 26 kwa mkandarasi wa kampuni ya China ya CRJE katika eneo la Lakilaki lililopo kata ya Mateves kwa ajili ya kuanza mradi wa ujenzi wa majengo ya...

  6. NCAA yajipanga kuongeza watalii Ngorongoro

    ARUSHA. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wamejipanga kuongeza idadi ya maeneo ya kupumzikia watalii wakati wa mapumziko ndani ya bonde la Ngorongoro na kuboresha barabara na shughuli za uhifadhi...

  7. CRDB yajivunia mafanikio kupata leseni ya kufungua benki DR Congo

    Arusha. Benki ya CRDB imejivunia mafanikio mbalimbali ikiwemo kupata leseni ya kufungua benki katika nchi ya DR Congo jambo ambalo ni hatua kubwa sana ambayo imepigwa na benki hiyo. Aidha benki...

  8. Dk Mpango: Toeni mikopo yenye riba nafuu

    Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amezitaka taasisi za fedha nchini kutoa mikopo ya riba nafuu kwa makundi mbalimbali wakiwemo wachimbaji wadogo wa madini, wavuvi, wakulima na wafugaji hivyo kuinua...

  9. CRDB yakabidhiwa cheti cha utoaji wa huduma ya bima

    Arusha. Kamishna wa bima nchini Dk Baghayo Saqware amekabidhi cheti cha utoaji wa huduma ya bima kwa benki ya CRDB ikiwa ni benki ya kwanza hapa nchini kupata cheti hicho kama kampuni tanzu...

  10. Serikali kuendelea kujenga maghala ya kuhifadhi mazao nchini

    Arusha. Serikali imesema inaendelea kujenga maghala ya kuhifadhia mazao nchini ili kuzuia sumu kuvu hali inayochangia athari kwa wakulima na wazalishaji wa chakula. Hayo yamesemwa jijini Arusha...

Previous

Page 2 of 14

Next