Mwelekeo mpya huduma za WhatsApp Kampuni ya Meta imefikiria mabadiliko ya kuweka uhuru wa kuchagua kuunganisha taarifa zako na majukwaa yake mengine katika mfumo huo mpya.
PRIME Mfumo wa dijitali mwarobaini Dart -3 Mfumo wa dijitali unatajwa kuwa miongoni mwa suluhu za changamoto zinazoikabili Dart, je ni kwa namna gani? endelea...
Wahamiaji 6,000 wapoteza maisha wakijaribu kuingia Ulaya Vijana kutoka mataifa mengi ya Afrika wamekuwa wakitamani kwenda Ulaya kutafuta maisha mazuri, hata hivyo wengi wamekuwa wakipoteza maisha wakati wakijaribu kuvuka bahari kuingia huko.
Sera ya Mambo ya Nje yamulikwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Januari Makamba amebainisha misingi iliyoongezwa kwenye sera mpya ya mambo ya nje, yale yahusuyo ulinzi wa uhuru wa kisiasa, mipaka na...
PRIME Ripoti maalumu: Kibarua kigumu cha hesabu za mapato, marejesho ya mkopo mwendokasi - 2 Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila alisema Serikali inatamani kuona wazawa wakiwa sehemu ya uwekezaji huo.
PRIME Ripoti maalumu: Mradi wa mwendokasi shubiri kwa watumiaji -1 Ikiwa imetimia miaka minane tangu kuanzishwa kwa usafiri wa mabasi yaendayo haraka (BRT), bado una changamoto nyingi zinazoufanya usiwe wa uhakika na kuaminika kwa watumiaji.
Sababu Watanzania kutonunua bidhaa za ndani Wakati wazalishaji wakiendelea kulalamika kukosa wateja, watafiti wanaendelea kuumiza vichwa kuhusu mkwamo huo, ikiwamo Taasisi ya Utafiti Repoa iliyofuatilia changamoto hiyo kiutafiti.
Huu ndio utajiri wa gesi Tanzania Aidha, gesi iliyotumika imewezesha kuokoa zaidi ya dola 17 bilioni sawa na Sh40 trilioni ambazo zingetumika kuagiza mafuta nje kwa ajili ya matumizi ya ndani kati ya mwaka 2004 hadi mwaka jana.
Kipimo cha wasanii ‘mateja’ mbioni kuanza Novemba 14 mwaka jana Kamishna Jenerali wa (DCEA), Aretas Lyimo alisema mamlaka hiyo inakamilisha ujenzi wa maabara mpya ya ukaguzi na sayansi jinai yenye mitambo ya kisasa kwa ajili ya kupima...
DCEA: Bila mateja, watu wangelala milango wazi “Asilimia kubwa ya wale Panya road waliokamatwa, walikutwa wanatumia dawa za kulevya, asilimia zaidi ya 80 ya matukio yote ya uharifu yanafanywa na watumiaji wa dawa za kulevya.”