Search

329 results for Lilian Lucas :

 1. Anayedaiwa kuua mama na mtoto wake akamatwa

  Polisi mkoani Morogoro imemkamata Seleman Mabula Sita (25), mkazi wa Seke mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mama na mtoto ake kwa kuwakata vichwa na kutenganisha na viwiwili.

 2. Mama, mwanaye wauawa kwa kukatwa vichwa

  Mtuhumiwa wa mauaji hayo ni kijana aliyeletwa na rafiki wa mume wa marehemu, na baada ya kutekeleza mauaji hayo alitokomea kusikojulikana na vichwa vya marehemu hao.

 3. Aliyefia Israel atunukiwa shahada SUA

  Jina la Clemence Mtenga, aliyefariki dunia nchini Israel, limetajwa kuwa miongoni mwa wahitimu katika mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).

 4. Tanzania yatajwa maambukizi ya TB duniani

  Kila mwaka, Tanzania inakadiriwa kuwa watu 130, 000 ambao wanasumbuliwa na ugonjwa Kifua Kikuu (TB), huku wakiwa hawajui, ama hawajaanza matibabu na hivyo kuifanya Tanzania kuwa moja ya nchi 30...

 5. Tehama kutumika ukusanywaji takwimu sekta ya afya

  Wizara ya Afya imewataka Waratibu wa Mfumo wa Takwimu na Taarifa za Uendeshaji wa Huduma za Afya nchini (HMIS), kuhakikisha ukusanyaji wa takwimu kielektroniki unafika kwenye zahanati, vituo vya...

 6. Serikali yatakiwa kuongeza kasi ujenzi wa SGR

  Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Serikali kuongeza kasi ya kukamilisha maeneo machache yaliyobaki kwenye ujenzi wa mradi wa Treni ya Mwendo wa haraka (SGR) ili uwekezaji uliofanyika...

 7. Tembo wazuia wanafunzi kwenda shule, waua wananchi wawili

  Watu wawili wakazi wa vitongoji vya Makang'wa na Shule, Kata ya Mangae Wilayani Mvomero wameuawa na tembo kwa nyakati tofauti wakati mmoja akipita njia kuelekea shambani na mwingine akiokota...

  New Content Item (1)
 8. Mzumbe kuhamasisha jamii kuthamini bima ya afya

  Morogoro. Chuo Kikuu Mzumbe kupitia kitivo cha sayansi ya jamii kimeanza utaratibu wa kuhamasisha jamii inayozunguka chuoni hapo kuwa na bima ya afya kwani afya ni mtaji muhimu. Mhadhili wa...

 9. Mke adaiwa kumuua mume kisa hataki kumuacha

  Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Maela Athanas (33) maarufu kwa jina la Rasi ambaye ni mkazi wa Kijiji cha cha Kilolero B Wilaya ya Malinyi, akidaiwa kumuua Charles...

 10. Wanazuoni wataka ujuzi mtambuka kuingizwa kwenye mitalaa

  Licha ya Serikali kuweka nguvu kwenye mitalaa inayotoa elimu ya ufundi, imeshauriwa kuingiza ujuzi mtambuka 'Soft Skills' kama nyenzo ya ujasiri kwa wahitimu wa vyuo katika kupata ajira.

Previous

Page 2 of 33

Next