Search

154 results for Mary Clemence :

  1. Serikali yazuia matumizi ya msitu Nkamba Katavi

    Timu ya Mawaziri wanane wa kisekta iliyotembelea maeneo yenye mwingiliano na mipaka ya hifadhi, imeamuru wakazi wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kutofanya shughuli za kibinadamu katika msitu...

  2. Wakulima wa tumbaku wagoma kusaini mkataba na kampuni ya ununuzi

    Wakulima wa zao la tumbaku 748 wa Chama cha Msingi Magunga (Amcos) Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika wamekataa kufunga mkataba wa uzalishaji na ununuzi na Kampuni ya Mkwawa kwa msimu wa kilimo...

  3. Wananchi watoa ekari 25 kujenga sekondari ya wasichana

    Ni katika hatua ya kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu, wakazi wa Kijiji cha Songambele, Halmashauri ya Nsimbo, mkoani Katavi, wametoka eneo la ekari 25, kwa ajili ya ujenzi wa sekondari...

  4. Madiwani Tanganyika wacharuka, wataka DED asimwangushe Rais

    Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, wameitaka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kutowachonganisha na wananchi kwa kushindwa kukamilisha miradi inayotekelezwa, kupitia mapato ya...

  5. Madaktari bingwa 12 BMH watua Katavi

    Timu ya Madaktari bingwa na wabobezi 12 wa magonjwa yasiyoambukiza kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa Makao Makuu Dodoma, wameanza kutoa huduma za uchunguzi, matibabu na upasuaji mkoani Katavi...

  6. Mnada wa Mnyagala hauna vyoo tangu umeanzishwa

    Wafanyabiashara wa mifugo zaidi ya 2000 katika mnada wa Mnyagala, wilayani Tanganyika, wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa huduma ya vyoo tangu mnada huo uanzishwe 2012 ambapo inawalazimu...

  7. Wakulima Mnyagala waomba kufutiwa deni la Sh36 milioni

    Wakulima wanaotumia skimu ya umwagiliaji Mnyagala, wilayani Tanganyika, wameiomba Tume ya Taifa Umwagiliaji (NIRC), kuwafutia deni la Sh36 zitokanazo na ada pamoja na tozo, kwa kuwa hawawezi...

  8. Jela miaka 30 kwa kumlawiti mwanafunzi Katavi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Katavi jana Agosti 9,2023 imewahukumu kutumikia miaka 30 jela, Majid Khalid almaruufu Alsalimi (36) mkazi wa Mtaa wa Madukani, na Wahab Amory (29) mkazi wa...

  9. Mbunge aombwa kusaidia kukomesha vijana ‘Manyigu’ Mpanda

    Kikundi cha mchezo wa ngumi wilayani Mpanda (Ushu) kimemuomba Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi kukiwezesha vifaa vya kufanyia mazoezi ili kusaidia kupunguza vijana wanaofanya vitendo vya...

  10. Wananchi wamtaka mbunge kunywa maji ‘machafu’

    Wakazi wa mitaa ya Milupwa na Misunkumilo Manispaa ya Mpanda wamelalamikia Changamoto ya ukosefu wa maji ambapo inawalazimu kutumia maji yasiyo safi na salama.

Previous

Page 2 of 16

Next