Search

26 results for Pelagia Daniel :

  1. Umemuandaaje mtoto kusherehekea Krismasi?

    Kesho ni Desemba 25, 2023, siku ambayo Wakristo duniani kote wanasherehekea kuzaliwa kwa Bwana Yesu Kristo.

  2. Utoke vipi ‘holidays’ za mwisho wa mwaka

    Mwisho wa mwaka pamoja na kuongozana na sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, familia nyingi huwa katika mapumziko.

  3. Fahamu historia ya urembo vikuku

    Vikuku vinaweza kuwa vya shanga, ngozi au hata madini kama dhahabu, fedha na shaba zenye muundo kama wa bangili ambazo huvaliwa miguuni na jinsi ya kike. Kikuu kinaweza kuvaliwa mguu mmoja au...

  4. Tokelezea kimtindo katika msimu huu wa mvua

    Damini koti - ni aina ya koti lenye kitambaa cha jeans nzito inayoweza kukinga baridi. Siku za hivi karibuni koti hizi zimekuwa zikivaliwa sana na kuwa mtindo unaotrendi, si kwa wanaume wala...

  5. PRIME Usikae mbali na fasheni msimu wa mahafali

    Msimu wa mahafali katika shule na vyuo mbalimbali nchini umewadia, katika kipindi hiki huwa kuna pilika za hapa na pale kwa wahitimu kutaka kupata mwonekano wa tofauti katika siku yao hiyo muhimu.

  6. Tokelezea na nguo zenye rangi ya chui ‘Leopard Print’

    Leopard Print au mavazi yenye rangi ya chui ni aina ya nguo ambayo imezidi kubamba katika suala zima la mitindo, ambapo huvaliwa na rika zote.

  7. Tanswift yazindua huduma ya usafirishaji mtandaoni

    Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria za barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika.

  8. Mwanafunzi akutwa ameuawa kichakani

    Baba mzazi wa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara ambaye mwili wake umepatikana kichakani karibu na chuo hicho, afichua mateso aliyoyapata binti yake kabla hajauawa.

  9. Miili ya waliofunga wakiamini kwenda mbinguni yafikia 89

    Idadi ya miili ya waumini waliofariki dunia kwa kufunga imefikia 89 katika shughuli za ufukuaji wa makaburi zinazoendelea katika Kijiji cha Shakahola, Kaunti ya Kilifi nchini Kenya.

  10. Bibi adakwa akila njama kumuuza mjukuu wake Sh7 milioni

    Mwanamke mmoja (jina limehifadhiwa) jijini Nairobi nchini Kenya ameshtakiwa kwa kosa la kula njama ya kumuuza mjukuu wake kwa Sh400,000 ya nchini humo (Sh6.9 milioni).

Previous

Page 2 of 3

Next