Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

106 results for Samirah Yusuph Yusuph :

  1. Polisi amjeruhi mwanaye kwa kushindwa hisabati

    Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia askari mwenye namba H.4178 PC Abati Nkalango (27) aliyemshambulia kwa fimbo na kumsababishia majeraha mtoto wake Benedicto Abati (7).

  2. Wananchi Busega waomba msaada wa chakula

    Kutokana na hali ya ukame iliyosababisha njaa katika baadhi ya maeneo nchini, wananchi wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu wameiomba serikali kuwaletea chakula kitakachouzwa bei nafuu ili...

  3. Waomba msaada wa Serikali viboko kuvamia makazi

    Kituo cha Bethany Child Care kipo pembeni mwa Ziwa Victoria katika wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu ambapo kimekuwa hatarini kutokana na viboko kuvamia makazi ya watoto na kuhatarisha maisha yao.

  4. Simiyu wazindua mfumo kutoa taarifa kimkoa

    Mkoa wa Simiyu umezindua mfumo wa tehama wa ‘Simiyu Info’ kwa lengo la kutoa taarifa wakati halisi mtandaoni, hali ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika Mkoa wa Simiyu.

  5. TMDA yatoa dawa za Sh25 milioni magereza Simuyu

    Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba Kanda ya Ziwa Mashariki imetoa dawa zenye thamani ya Sh25.2 milioni kwa magereza mkoani Simiyu.

  6. RC Simiyu aitaka TRA kutoa elimu zaidi kwa walipa kodi

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahya Nawanda amewaagiza maofisa wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani hapa kutoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya kulipa kodi kwa wakati na kwa hiari.

  7. Mahakama Kuu kujengwa kila mkoa

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema serikali iko mbioni kuanza kujenga majengo ya Mahakama Kuu katika mikoa ambayo haina majengo hayo ili kuwarahisishia wananchi kupata huduma.

  8. Jaji Mkuu ataka watumishi wa mahakama kurudi darasani

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesisitiza watumishi wa mahakama kote nchini kurudi Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto ili kujifunza mifumo ya kidigitali katika uendeshaji wa...

  9. Rushwa uchaguzi wa CCM

    Wakati CCM ikifuta na kuahirisha uchaguzi wa ndani katika baadhi ya maeneo kwa tuhuma za rushwa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeonya ikisema itawashughulikia wahusika bila...

  10. UVCCM watolewa ukumbini Simiyu

    Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kupitia Umoja wa Vijana UVCCM wameondolewa ukumbini baada ya matokeo ya uchaguzi uliowaingiza madarakani kufutwa.

Previous

Page 4 of 11

Next