Nape ataka mashirika ya Posta Tanzania na Kenya kufanya biashara kidigitali
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameyataka mashirika ya Posta Tanzania na Kenya kuhakikisha wanafanya biashara ya usafirishaji kwa njia ya kidigitali zenye...