Mgawo wa maji wapoa wa umeme ukitikisa Wakati mgawo wa maji ulioanza mwezi uliopita ukipungua jijini Dar es Salaam, maumivu bado yanaendelea baada ya mgawo wa umeme kushika kasi.
Katavi, Songwe wapata wenyekiti wapya CCM Msimamizi wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Katavi, Wazizi Kidamba amemtangaza Idd Hassan Kimanta kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho mkoa wa Katavi.
Sura mpya zachomoza UWT, UVCCM Uchaguzi wa Jumuiya za Umoja wa Vijana (UVCCM) na Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama cha Mapinduzi jana umetimua vumbi, ukishuhudia vigogo katika jumuiya hizo wakibwagwa na kuibuka kwa sura mpya.
Mchungaji, wanawe wakamatwa kifo cha ndugu wakimuombea Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia watu watatu wa familia moja kufuatia kifo cha ndugu wa wanafamilia hao, Anna Mwansimba (30) anayedaiwa kufariki wakati wakimfanyia maombi nyumbani.
Mmoja afariki, 45 walazwa kwa kunywa pombe za kienyeji Mkazi wa Kijiji cha Nambala wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Kenneth Nzunda (58) amefariki dunia na wengine 45 kulazwa hospitalini baada ya kunywa pombe za kienyeji.
Baba wa mtoto anayedaiwa kuibiwa afunguka Shahidi katika kesi ya wizi wa mtoto, Emmanuel Mwanga ameiambia mahakama ya Mwanzo Vwawa mjini mkoani hapa kuwa watuhumiwa kwa kitendo hicho walikuwa na nia ovu.
Songwe waomba miundombinu ya umwagiliaji Baadhi ya wakulima wanaojihusisha na kilimo cha umwagiliaji, wameiomba Serikali kuwatengenezea miundombinu ya umwagiliaji Ili waweze kuimarisha shughuli zao huku wakiendelea kuhifadhi vyanzo vya...
Kizungumkuti cha mbolea nchini Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku nchini unaelezwa kuwa wa kusuasua huku baadhi ya maeneo yakiwa na msururu mrefu wa wakulima wanaoifuata mjini.
Ahamasisha kilimo cha mbogamboga kuimarisha lishe Mkazi wa Mbozi mkoani Songwe ameanzisha kilimo cha bustani nyumbani kwake huku akihamasisha wanajamii kulima kilimo hicho ili kuhamasisha upatikanaji wa chakula na kuimarisha lishe.
Songwe watakiwa kujenga tabia kunawa mikono kuepuka magonjwa ya mlipuko Afya za watu ziko hatarini kufuatia tabia ya watu kunawa mikono ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko kupungua katika jamii ikilinganishwa na kipindi cha mapambano dhidi ya Uviko-19.