Mafundisho ya kutambua ukatili kuwasaidia watoto Kijana mmoja mwenye umri wa miaka (37) mkazi katika Kijiji cha Senjele, Kata ya Nanyala wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe (jina limehifadhiwa) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa akituhumiwa...
Kelele janga jipya mitaani Wakati Taifa likihitaji msaada mkubwa wa huduma za kiroho kwa ajili ya kuponya maradhi ya wananchi yanayosababisha kujikita katika matukio kama ya uhalifu, mauaji na mengineyo, huduma hizo katika...
Wananchi wafurika kujiandikisha mbolea ya ruzuku Wakulima wasotea kujiandikisha kupata mbolea ya ruzuku huku waandikishaji wakizidiwa na idadi ya watu.
Wakulima waipongeza Serikali kwa ruzuku ya mbolea Baadhi ya wakulima nchini wameishukuru Serikali kwa kuweka ruzuku katika mbolea hali iliyosababisha bei yake kushuka.
Majaliwa aonya wanaoanzisha migogoro mipakani Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa iliyopo mipakani watekeleze maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kufanya ufuatiliaji wa watu waliounda vikundi visivyo rasmi...
Madereva wa malori Tunduma wahofia usalama wao Tunduma Sakata la mgomo wa madereva wa malori katika mpaka wa Tunduma umeendelea leo kwa siku ya pili ambapo baadhi ya madereva wasiounga mkono mgomo huo wameegesha magari yao kwa hofu ya usalama wao na...
RC Songwe awatangazia kiama maofisa ardhi Kamati ya watu nane iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa Songwe, Omary Mgumba Februari 2022 kuchunguza uharibifu wa mazingira na chanzo cha migogoro ya ardhi mkoani humo imewasilisha ripoti yake na...
Mhudumu akimbia uvamizi, zahanati ya kijiji yafungwa Zahanati ya Kijiji cha Ikonya katika Kata ya Bara wilayani Mbozi, mkoani Songwe imefungwa tangu Juni 2, 2022 baada ya mhudumu kuvamiwa na mtu aliyeingia kwenye makazi yake na kumpora simu tatu na...
Songwe kurejesha maonesho ya kimondo Mkoa wa Songwe umerejesha maonesho ya siku ya kimondo ili kuwakutanisha wadau mbalimbali sambamba na siku ya vimondo Duniani yanayofanyika kila ifikapo Juni 30 kila mwaka.